Membershp Only Movie&Whatsapp Request Group

O

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Messages
2,523
Points
1,250
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2013
2,523 1,250
Hello Everyone
Ninafungua a new Whatsapp group kwa wadau wote wa Movie,Series
It is an Exclusive group yenye kiingilio
Najua wengi mtakua mmeshangaa baada ya kusikia kuna kiingilio

Here is why!
Each member kila week atakua anaweza kuweka oda ya movie zozote 10 pamoja na seasons 5 per week anataftiwa na delivery inafanywa within 4days (So in short kwa mwez unaweza weka oda ya muvi 50,season 20)

Kwenye group zitakua zinatoka updates mpya za movie or series latest ambazo zimetoka pia Reviews pia

Kiingilio ni tsh.30,000/= tu (This is a monthly payment)

PS: FREE DELIVERY NI KWA WALE NDAND YA DAR NA KATIKA MAENEO YA KARBU

Kwa maelezo zaidi PM

Asanteni
 
Braibrizy

Braibrizy

Senior Member
Joined
Apr 6, 2014
Messages
100
Points
225
Braibrizy

Braibrizy

Senior Member
Joined Apr 6, 2014
100 225
Na mimi pia ni mdau wa hvo vitu lakin kwa sas uwezo wa 30 sina ila nina movies kama 1000 na series za kutosha, tunaweza fanya biashara..!
 
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Messages
2,523
Points
1,250
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2013
2,523 1,250
Unakataa offer ya movies zaidi ya 1000 ambazo unanunua kwa bei chee kisha wewe utaziuza kwa makumi ya watu kwenye group lako!!!!!
Mjasiriamali gani unapuuzia fursa.
Don't be too autonomous, ama HDD zinakupa kiburi :D :D
Here we go i again.....Nina collection ya zaidi ya movie 4000 over 5TB of data...nmekataa ofa yake coz najua movie alizonazo lazima ntakua nazo ZOTE..Where is my benefit in that? Uliza kwanza kwa nini mtu kakataa instead of jumping to conclusion
 
tejay

tejay

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
1,233
Points
2,000
tejay

tejay

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
1,233 2,000
Hello Everyone
Ninafungua a new Whatsapp group kwa wadau wote wa Movie,Series
It is an Exclusive group yenye kiingilio
Najua wengi mtakua mmeshangaa baada ya kusikia kuna kiingilio

Here is why!
Each member kila week atakua anaweza kuweka oda ya movie zozote 10 pamoja na seasons 5 per week anataftiwa na delivery inafanywa within 4days (So in short kwa mwez unaweza weka oda ya muvi 50,season 20)

Kwenye group zitakua zinatoka updates mpya za movie or series latest ambazo zimetoka pia Reviews pia

Kiingilio ni tsh.30,000/= tu (This is a monthly payment)

PS: FREE DELIVERY NI KWA WALE NDAND YA DAR NA KATIKA MAENEO YA KARBU

Kwa maelezo zaidi PM

Asanteni
Safi sana
Tujitume sio kusubili ajila za masemango
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
1,333
Points
2,000
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2019
1,333 2,000
Unakataa offer ya movies zaidi ya 1000 ambazo unanunua kwa bei chee kisha wewe utaziuza kwa makumi ya watu kwenye group lako!!!!!
Mjasiriamali gani unapuuzia fursa.
Don't be too autonomous, ama HDD zinakupa kiburi :D :D
Sidhani kama atakosa movie zinazo fanana na za muuzaji
 
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Messages
2,523
Points
1,250
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2013
2,523 1,250
Usiku pack bundle ni 10 GB @1000TSH
Series episode moja ni MB 200-350 Kwa 720p.
Haya yote magumu kwa kutumia computer za ofisi unadownload mpaka ushindwe wewe, gharama kwenda na flash tu.
Kama wewe unaweza kukaa hadi saa sita ili udownload vitu sio kila anaweza.
Umeshindwa kupiga mahesabu pia season moja ni gb ngap? Kuna season zina had 12gb
Pili sio kila mtu anatumia mitandao inayo offer hzo package
Tatu sio kila mtu ana modem hata ukisema utumie hotspot ya simu hotspot zina drain nguvu ya battery ya simu
Nne sio kila mtu anafuatilia what is up to date in the entertainment world

Anyway hii sio kwa kila mtu if it doesnt fit you sio jambo la kulazimishana wala kushawishi wote isiwafit.Asante
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,687
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,687 2,000
Kwa ushauri tu ni mara 100 ukaweka Telegram group maana whatsapp ni mwisho ni members 257 tu wakati telegram unaweza kua na zaidi ya mara 100
 
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Messages
2,523
Points
1,250
O

Olympus

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2013
2,523 1,250
Kwa ushauri tu ni mara 100 ukaweka Telegram group maana whatsapp ni mwisho ni members 257 tu wakati telegram unaweza kua na zaidi ya mara 100
Thank you mkuu kwa ushauri....nilikua na wazo hilo pia ila ubaya watu wengi hawatumii telegram
Asante sana kwa ushauri.
 
Forum statistics

Threads 1,296,166
Members 498,559
Posts 31,237,045
Top