Members wengi humu ni madomo zege

Members wengi humu ni madomo zege

Yaani unakuwa umemjua humu humu jf kwenye posts unamfuata pm unamuuliza maswali na anayajibu yote vizuri halafu unamtongoza kisha unamuomba muonane naye anakubali au iko tofauti na hivyo ninavyowaza mimi?
Watu wamepata wachumba humu na wameoa na wengine wameolewa mkuu hamna kitu inashindikana hizi ni zama Smart phone mwendo wa 4G sio zile telegram na barua iliyochorwa makopakopa
 
Mkuu huwezi kurupuka tu hovyo hovyo kama umekunywa ulanzi ndotoni.... Ni lazima utengeneze psychology ya muhusika mkuu...
 
Hamchukui mda atakuelewa
Hivi inawezekana pia watu wakawa wanadate humu jf ikiwa hawajawahi kuonana kabisa wala hawajuani hata sura? Acha wale ambao wanaonana na kujuana kwanza ndo wanaaza kudate
 
Back
Top Bottom