Members wengi humu ni madomo zege

Niwazi members wengi kwenye mitandao ya kijamii hujifanya mashujaa wanapokua kwenye keyboard wanatyp pamoja na kwamba hawaonekani lakini bado zege zito lilojaa mdomoni huwafanya kushindwa kuwashawishi mabint na kuwateka kihisia na mwisho huishia kuumia kimyakimya na kuuliza maswali yaleyale ya kidomo zege eti!!:-

(1) Pande zipi

(2) Unaitwa nani

(3) Vipi mvua huko

(4) Karibu kwetu

(5) Naomba namba ya simu

(6) Mmeo hajambo

Kama umempenda mtoto mwambie ukweli hauwezi kupigwa makofi atakubali au kukukatalia........Amuka acha uboya View attachment 1110631
Kwa mfano hebu tupe tips za wewe unavyo funguka.

Usielezee we sema direct msg.
1:jinsi unavyo mtongoza demu ambaye unamjua
2:demu wa mtandao
3:demu wa rafiki yako
4:wa ndugu yako

Hapo utakuwa umesaidi maana najua kama hutajiuma sijuiii
 
Nisieleze nifanye shot story
 
1. Demu ninayemjua simtongozi naanda mazingira akiingia namfanya matusi haina swaga hiyo.

2. Demu wa mtandao kama jf naanza inbox tunafahamiana nakumjengea imani kwangu akiniamini tunapeana phone no. kinachofuata ni promise ya kukutana na mengine ya kuvuana chupi.

3. Demu wa rafiki yangu naangalia udhaifu wake upo wapi nachukua nafasi kutimiza hitaji lake kinyemela bila jamaa kujua na ntahakikisha anakua pamoja na mimi ili tufichiane siri baada ya hapo kulipana fadhila... show

4. Demu wa ndugu hatongozwi anashtukizwa tu ila unaandaa mazingira kwa Siri bila yeye kujua na watu wanao wazunguka mnaeza mkajikuta mpo wenyewe nyumbani ni rahisi sana kumshawishi na mfanye mapenzi kimya kimya na ndio ukawa mchezo wenu

Nimemaliza mkuu njoo inbox
 
Niwazi members wengi kwenye mitandao ya kijamii hujifanya mashujaa wanapokua kwenye keyboard wanatyp pamoja na kwamba hawaonekani lakini bado zege zito lilojaa mdomoni huwafanya kushindwa kuwashawishi mabint na kuwateka kihisia na mwisho huishia kuumia kimyakimya na kuuliza maswali yaleyale ya kidomo zege eti!!:-

(1) Pande zipi

(2) Unaitwa nani

(3) Vipi mvua huko

(4) Karibu kwetu

(5) Naomba namba ya simu

(6) Mmeo hajambo

Kama umempenda mtoto mwambie ukweli hauwezi kupigwa makofi atakubali au kukukatalia........Amuka acha uboya View attachment 1110631
Binafsi sijawahi kutongoza Dem hum jf na Wala Sina mpango huo, kwa sababu sihitaji kubahatisha kabisa , wengi hum ni mafeki tuu na hawajulikani inakuaje unaanza kumpenda mtu ambaye hata humjui na Wala hujamuona hata kwenye kapicha haya c ndio yale mambo ya kuanza kukimbiana kwa kukutana na unexpected person , sometimes ni kutokujielewa na kuwa na migenye ya hovyo hovyo , ya Nini kujipa mawazo huku wakati kitaa Kuna watoto wakali tu,
Huku Kuna fake fake tu Kila kitu fake Hadi papuchi zipo fake pia
 
Shida pesa, maneno hayaliwi..!

mpaka pachuchi fake
 
Sikuizi nikuomba mzigo kila kitu kinajulikana tu, kama una maindisha unaomba kubutua kama hutaki nikupiga kimya
 
Pande za tukuyu
mrembo karibu kwetu

Udomo zege raha sana
hqdefault(1).jpeg
 
Back
Top Bottom