Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,470
- 40,829
Niwazi members wengi kwenye mitandao ya kijamii hujifanya mashujaa wanapokua kwenye keyboard wanatyp pamoja na kwamba hawaonekani lakini bado zege zito lilojaa mdomoni huwafanya kushindwa kuwashawishi mabint na kuwateka kihisia na mwisho huishia kuumia kimyakimya na kuuliza maswali yaleyale ya kidomo zege eti!!:-
(1) Pande zipi
(2) Unaitwa nani
(3) Vipi mvua huko
(4) Karibu kwetu
(5) Naomba namba ya simu
(6) Mmeo hajambo
Kama umempenda mtoto mwambie ukweli hauwezi kupigwa makofi atakubali au kukukatalia........Amuka acha uboya
(1) Pande zipi
(2) Unaitwa nani
(3) Vipi mvua huko
(4) Karibu kwetu
(5) Naomba namba ya simu
(6) Mmeo hajambo
Kama umempenda mtoto mwambie ukweli hauwezi kupigwa makofi atakubali au kukukatalia........Amuka acha uboya