Members msaada wenu

Dec 21, 2016
29
7
Members naomba mnisaidie website gani ambayo naweza kununua simu {smartphone} kwa uhakika,haraka na kwa ghalama ya kawaida xana
 
Utalizwa ww kwann usiulize zinapatikana wp ukaelekezwa ukaenda ukapewa kitu mkono kwa mkono but subili waje
 
Wenzako kila siku wanaleta post humu kwamba wamelizwa huko kwenye mitandao wewe bado unataka kujichomeka!
 
Back
Top Bottom