Members Jf mumeishiwa topics?

Members Jf mumeishiwa topics?

Umo humu mwezi na nusu na bado unajiita mgeni!
Kama vipi komaa, tajataja majina ya members ukianzisha thread, utakuwa maarufu haraka sana, na utaanza kuombwa contact!

sio hivyo mkuu anzisha thread iliyo makini nawe uwe mchangiaji na kuquote like thiz, mi mwenyewe ndo najaribu hivi
 
ha ha ha ha

tukikutana na kundi la simba tutakoma
ila mie na mbio ntawaacha tu

Haswaa...wanafuatana tu bila kujali hata mbele yao kama kuna hatari au laah!
Hebu jaribu tu kuchunguza mwelekeo wa mijadala hasa MMU/chit chat...
Mmoja akianzisha juu ya 'mke wa mtu/infidelity' basi juma zima au hata mwezi ni mijadala ya hivyo tu.....
Au kuhusu mwanachama/wanachama fulani basi trend ni hiyo tuuu....
Tuko kinyumbu nyumbu zaidi
 
sio hivyo mkuu anzisha thread iliyo makini nawe uwe mchangiaji na kuquote like thiz, mi mwenyewe ndo najaribu hivi

tunaomba mods wazilist hizo threads makini.kwa kuwa naona thread makini lazima ianzishwe na member aliyechangia au wa zamani.
 
ha ha ha ha

tukikutana na kundi la simba tutakoma
ila mie na mbio ntawaacha tu
Si afadhali hata ingekuwa tu kukutana na simba.....lol

Haya agana kabisa na nyonga
 
kuna thread yangu kuhusu cuf wameipoteza kimya kimya imeniudhi sana!
Hawa jamaa sijajua wanatumiaga vigezo gani kudelete post mpya....au wanaogopa kuleta jam jukwaani? ila wanakatisha tamaa
 
Du kweli wewe ni "mpoleee"
Maana umelianzisha hapa afu umekuwa mpole tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom