Member mwenzetu huyu JF

Member mwenzetu huyu JF

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
5,008
Reaction score
9,209
Atakayepatia nampatia zawadi
IMG_20200804_125649_208.JPG
 
Tustiriane wandugu, huwezi jua ana matatizo gani kiafya yaliyompelekea kufika hali hiyo.

Kabla hujadhihaki maumbile ya binadamu mwenzio kumbuka wa wahenga 'hujafa hujaumbika' .

Namsifu jamaa kwa ujasiri, wengine wenye hali hiyo wanashinda ndani nyumbani hatutoki nje.
 
Back
Top Bottom