🙄🙄Akili za wafugaji huwa zinawaza kuwalinda mifugo yao hata kwa damu za watu.huyu ni miongoni mwa maofisa wa Misitu waliouawa Tabora huko walivamiwa na wafugaji
Bado kijana mdogo 🙄RIP.Lyaro. Enda Mrima Mchope MekuView attachment 3675852
Tupo msibani jamani😎Kuna shogaangu aliniambiaga akiwa na kiu haikati Kwa kunywa maji, akinywa bia kiu inakata 🙌
Daah umri kama wa mjukuu wangu,,,,RIP young man,.....gon tuu suun.Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.
Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee.
MARANGU MOSHI
View attachment 3675678
Daaah😁Yeah ukiwa sio mnywaji unaweza mshangaa , ukiipotezea kiu ya bia unakosa amani kama mgonjwa kabisa
Noma sanaDaaah😁
Nipo serious mfiwa, subirini hata gizagiza jamani saiz ni aibu watu wanatuona🫢Hautaki kupoza kiu😎
Umekaa tent la mbele.
😥😥Nipo serious mfiwa, subirini hata gizagiza jamani saiz ni aibu watu wanatuona🫢
Alikuwa anatumia id gani?????