MEMBER MPYA WA JF

MSUKUMA02

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
502
Reaction score
1,237
Kwa majina naitwa Msukuma mzaliwa wa Chato jirani kabisa na kwa hayati JPM pia ni mwanachama hai wa CHAMA CHA MAPINDUZI chini ya Mwenyekiti wetu Pendwa na raisi kipenzi cha Watanzania mama Samia Suluhu Hassan....Naomba mnipokee🙏
 

Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 2
Hasara nyingine hii JF

Mgeni since 2011
Ni makosa ya modes kwenye kuniandikia mwaka wa kujisajili huku

Vipi lakini afya yako Bado tuna countdown au ushapata tiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…