Karibu sana bwashee , humu kila mtu ni mkuu ,hata kama hauna hata 100 mbovu usishtuke ukiitwa mkuumkuu nimekuelewa.
Kabisa!mkuu hakuna mtu, nilie msema vibaya humu.
sawasawa, jinsia yako jesina id ya zamani mkuu ndio mana nachangia mijadala walio telekeza watu.
Sana tu.Dah ila mkuu kazi yako wewe ni kupokea wageni tu 🤣 hongera sana
Nakubali sana bwasheeSana tu.
Vyema kabisa.Nakubali sana bwashee