secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,009
- 42,625
Ndo antaka kumkaribisha kwa bakora yangu ya moto moto.Bado mgeni huyu!
Ndo antaka kumkaribisha kwa bakora yangu ya moto moto.Bado mgeni huyu!
Mama mchungaji kwenye 1 na 2Karibu, wewe ni jinsia gani?
Mimi ni mama mchungaji wa JF, huwa natoa pepo wachafu kwa vijana na ushauri wa kimwili na kiroho kwa mabinti!
View attachment 3630606
Mpe muda azoeezoee mazingira loh😎Ndo antaka kumkaribisha kwa bakora yangu ya moto moto.
Hahaha kipapai ?umenikumbusha mbali ,Kuna kipindi Mimi na mwanangu tuliwahi kuibukia Kambi ya wakimbizi nyarugusu kwa lengo la kuvizia unga wao wa msaada kutoka USAID miaka hiyo wao walikua wanauita majhone, yellow flour, mwanangu akaoza mguu wakasema amepigwa kitu wao wanaita mlamboo a.k.a kipapai.Atajutra kukufahamu! Soon anapigwa kipapai, sio kwa ulozi uliotukuka😎
Karibu mkuu.Habari zenu. ndugu wana JF. mimi ni member mpya.nimejiunga jana.
Dah ila mkuu kazi yako wewe ni kupokea wageni tu 🤣 hongera sanaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Duh!Karibu tukupokee mimi ndio binti sayuni wa humu jukwaani, uje taratibu lakini..
Dohh! Watu mna historia🤔 kwahiyo akawaroga back🙊Hahaha kipapai ?umenikumbusha mbali ,Kuna kipindi Mimi na mwanangu tuliwahi kuibukia Kambi ya wakimbizi nyarugusu kwa lengo la kuvizia unga wao wa msaada kutoka USAID miaka hiyo wao walikua wanauita majhone, yellow flour, mwanangu akaoza mguu wakasema amepigwa kitu wao wanaita mlamboo a.k.a kipapai.
Lakini alipona baada ya kwenda nao Sako tu bako
Apunguze tu shobo sio?Karibu tukupokee mimi ndio binti sayuni wa humu jukwaani, uje taratibu lakini..
Kama alivyokuja, atapokelewa!Apunguze tu shobo sio?
Kumbuka hapa nimepandwa na ashiki ya kufa mtu.Mpe muda azoeezoee mazingira loh😎
Naunga mkono hoja bila wasi.Unatakiwa ujue kwamba... hata chakula ni uchafu, ndio maana ukimaliza kula una nawa...🤥
Pole mikono umepeleka wapi leo?Kumbuka hapa nimepandwa na ashiki ya kufa mtu.
Mikono ya nini?Pole mikono umepeleka wapi leo?
ME mkuuKaribu, wewe ni jinsia gani?
Mimi ni mama mchungaji wa JF, huwa natoa pepo wachafu kwa vijana na ushauri wa kimwili na kiroho kwa mabinti!
View attachment 3630606
shukurani mkuu.Karibu, na kutana na Ayatollah wa JF secretarybird, kwa ushauri nasaha.