Yesu Anajibu Songs New Member Joined Jul 8, 2026 Posts 2 Reaction score 3 Jul 8, 2026 #1 Ebhana eee! Je, wewe ni mpenzi wa mziki mzuri wa injili? Kama jibu lako kwa swali hapo juu ni ndiyo, Yesu Anajibu Songs tunapenda kukualika uambatane nasi katika mfululizo wa nyimbo zenye ujumbe wa tumaini, faraja na imani katika Yesu Kristo. karibu tuimbe, tuabudu na tumtukuze bwana pamoja. MOTTO: TUMAINI | IMANI | UKWELI
Ebhana eee! Je, wewe ni mpenzi wa mziki mzuri wa injili? Kama jibu lako kwa swali hapo juu ni ndiyo, Yesu Anajibu Songs tunapenda kukualika uambatane nasi katika mfululizo wa nyimbo zenye ujumbe wa tumaini, faraja na imani katika Yesu Kristo. karibu tuimbe, tuabudu na tumtukuze bwana pamoja. MOTTO: TUMAINI | IMANI | UKWELI
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,175 Reaction score 111,114 Jul 11, 2026 #2 Asante... Karibu sana JamiiForums...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,885 Reaction score 13,877 Jul 12, 2026 #3 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.