Membe ni mtu huru, kwa sasa hana chama, kafukuzwa uananchama CCM kwa sababu ya kutaka kugombea uraisi.Maelezo mengi msingi wake unampa moyo,
ajiunge upinzani ajaribu bahati yake ,ila ndani ya ccm siioni nafasi yake,na asking'anta'nia inaweza kuwa ndio mwisho wake kisiasa
Kama Membe angekuwa mla rushwa na Fisadi basi angelikuwa ameshafunguliwa kesi ya ufisadi nchini, Si mnasema Ngosha anapambana na ufisadi mbona sasa anawaacha hao mafisadi mtaani?
Membe hafiki hata robo ya Lowasa
Membe anaungwa mkono na kikundi cha mafisadi kilichobinywa awamu hii
Wananchi hata hawamjui huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Msije Kulalamika kaonewa,ni suala la muda tu,jinai haifi,(Ghaddafi saga)
Nani k
Nani kakuambia, ukaamini, kwamba Membe katoka CCM? Bado hujaijua CCM na TISS hadi leo? Membe yuko kazini. Wapinzani wanapaswa kulifahamu hilo na kuwa na hadhari. Alisema mwenyewe "niguse ninuke". Keshaguswa na sasa ananuka. Atawaharibia wapinzani kwa uvundo wake.
Mkuu hawa watu hawafanani na mazingira ya kufukuzwa kwao hayafanani, lkn kubwa zaidi historia ya kazi zao hazifanani. Membe anapaswa kuchukuliwa kwa thadhari kwa uzoefu ambao umekuwa ukujitokeza hivi karibuni wa watu kuhamia upinzani kutoka CCM na baadae wakarudi baada ya kumaliza kazi walizopewa. Ya Sumaye na Lowassa yanapaswa kuwa mambo ya kufanyiwa rejea. Membe kuenda ACT ni mpango kwa vile chama hicho kinaonekana, kwa mawazo yangu, kinakuja kuwa tishio hasa kwa uwepo wa Zitto najuwezekano wa yeye kugombea urais 2020.Achana na conspiracy theory wewe. Membe siyo wa kwanza kufukuzwa uanachama CCM, amewahi kufukuzwa Maalim Seif, na huyo Seif ndo anawasumbua CCM hukonZanzibar mpaka leo
Hakuna cha mchezo wa kuigiza, Membe alikuwa anautaka uraisi kweli na hilo ndo lilikuwa kosa lake kubwa mbele ya bwana mkubwa.
Lowasa alifanya kweli mwaka 2015, Bwana Mkubwa anajua na Tume inajua. Na nguvu kubwa ya kuonea wapinzani na kununua wanaonunulika na wengine kuwaminyia njia zao halali za uchumi. Yote hii ni kwa sababu wana hofu ya kiluchowakuta mwaka 2015.
Itakuwa ni makosa makubwa wananchi kukubali kuaminishwa kuwa kila anayepambana na bwana mkubwa ndani ya CCM basi kisirisiri yuko naye.
Kwa siasa za nchi hii, hili ndio la msingi zaidi. Alichosema Nape ndio ukweli halisi, unless mambo yakibadilika mbeleni.Mkuu;
Umeandika mada ndefu bila kujua kuwa majibu ya mada yako yalishatolewa na kijana wa ''Membe''!
Mwaka 2012, Nape Nnauye aliwahi kusema kwenye kipindi cha Jambo Tanzania, TBC kuwa, "Samaki ukimtoa majini hana nguvu, CCM ni taasisi na ina nguvu, ukitaka kuwa na nguvu inabidi uwe ndani ya CCM, bila CCM mwanasiasa huwezi kuwa na nguvu, tutawatoa majini hawa samaki".
Maneno ya Nape Nnauye yalililenga kundi la Edward Lowassa na timu yake (Timu Lowassa) wakati wa vurugu za kisiasa ndani ya CCM. Maneno ya Nape yalidhihirisha ukweli baada ya Lowassa na kundi lake kuondoka CCM na kujikuta hana nguvu mpaka kuamua kurudi tena CCM.
Kwa siasa za nchi hii, hili ndio la msingi zaidi. Alichosema Nape ndio ukweli halisi, unless mambo yakibadilika mbeleni.
Utaongeleaje mtu ukose mkate wa kila siku. Ukishakuwa muoga na muendekeza njaa huwezi simama ktk kila unachokiamini zaidi tena ukiwa sio muadilifu.
Utaugulia tu ili mradi mkono uende kinywani.
Tutabadirika pale hizo tabia nilizotaja hapo juu zitakapo koma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiaminishe ujinga tu, nani kakwambia sasa hakuna ufisadi?Membe hafiki hata robo ya Lowasa
Membe anaungwa mkono na kikundi cha mafisadi kilichobinywa awamu hii
Wananchi hata hawamjui huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako tu