leo!!!
yale yale tu!!Jamani hebu kumbukeni vizuri, baada ya Mwakyembe kuwasilisha ripoti ya kamati ya richmond, kesho yake mtu wa kwanza kuchangia alikuwa Waziri Mkuu Lowasa, katika mchango wake akasema amemwandikia barua Rais ili ajiuzulu. Lakini kama kumbukumbu zenu zipo Rais hakumjibu Lowasa kumkubalia kujiuzulu na badala yake JK alivunja baraza la mawaziri na kubadilisha mawaziri. So ukweli ni kwamba Lowasa na mawaziri wengine walitimuliwa na JK wala sio kwamba alijiuzulu. Hata Karamagi aliyedai naye kaomba kujiuzulu ni kwamba walifutwa uwaziri. Membe yuko sahhi kabisa
rais anaweza kulivunja baraza lake la mawaziri endapo yafuatayo yatatokea:Nimesoma na kusikitika sana kauli ya membe kwenye gazeti la raia mwema la jana 12-18/10 kwamba eti namnukuu 'Unajua ili uweze kujibu swali hili lazima uangalie matukio ya mwaka 2008. Mwaka 2008 Rais Alivunja Baraza la Mawaziri, hadi Waziri mkuu, Lowassa, akaondolewa. Hakuna huruma hapo. Ameondoa mawaziri na waziri mkuu'. Hivi huyu ndio eti na yeye yuko mbioni kuusakanya urais wa Tanzania, kweli nchi hii ni ya vilaza kabisa.
Mwaka huo huo, 2008 Lowassa alisema, 'Nimetafakari kwa makini suala hili na kwa niaba ya chama changu, nimemuandikia rais barua ya kuachia ngazi (kujiuzuru)'. Membe labda alikuwa kauchapa usingizi hapo.
Kwa nchi kama Tanzania (URT) waziri mkuu akijiuzuru, cabinet nzima inakuwa imefikia tamati bila hata rais kupenda ama asipende. Kwa mujibu wa maneno potofu ya nachelea kusema huyo matamshi ya Membe yanadhihilisha ama Lowassa alilazimishwa kujiuzuru, ama aliambiwa afanye usanii kwa makubaliano fulani, ama wote hawaelewi nini kiliendelea.
Nina wasiwasi ukimuuliza Membe hivi hii miaka 50 ya uhuru ni wa nchi gani, anaweza kukujibu harakaharaha 'Tanzania' badala ya Tanganyika.
Miaka 50 ya umaskini, Tanganyika ya leo hata wembe inaagiza nchi za nje, kweli tunahitaji kusherekea miaka 50 yetu.
Nafungua mjadala.
kazi kweli kweli..
Hiyo tarehe uloiweka hapo 12/18/10 naamini kwamba unamaanisha December 18 siyo? Na sote tunajua kwamba Raia mwema hutoka kila siku ya jumatano. Sasa tarehe hiyo uloweka wewe mbona haikuwa Jumatano? hii tarehe ilikuwa jumamosi, wewe umetoa wapi hilo gazeti la Raia mwema la Jumamosi? N hata kama ulimaanisha kusema tarehe 12,, nayi haikuwa jumatano,, sasa kama si uongo na uzushi humu ndani kwa njaa zenu ni nini? N gazeti lenyewe ulifungiwa maandazi niini maana toka December hadi leo umelipekua ili ulisome utuletee upuuzi kuhusu Membe uliliweka wapi? Sote tunajua Raia mwema walikuwa hawako online by that time. Wewe ni mzushi,, MODs please toa hii thread ya majungu.Nimesoma na kusikitika sana kauli ya membe kwenye gazeti la raia mwema la jana 12-18/10 kwamba eti namnukuu 'Unajua ili uweze kujibu swali hili lazima uangalie matukio ya mwaka 2008. Mwaka 2008 Rais Alivunja Baraza la Mawaziri, hadi Waziri mkuu, Lowassa, akaondolewa. Hakuna huruma hapo. Ameondoa mawaziri na waziri mkuu'. Hivi huyu ndio eti na yeye yuko mbioni kuusakanya urais wa Tanzania, kweli nchi hii ni ya vilaza kabisa.
Wee nawe mbona unaingia kimugongo mugongo bila data wala taarifa zozote? unashabikia tu hata upuuzi. Kafanye utafiti ndipo ulete majungu yako hapa. Chundu kama nyie ndiyo mnalishushia hadhi jukwaa hilisipendi viongozi wanafki like membe,,,,,thread za leo kweli zote kali naomba na magogoni wazipate, ikiwezekana wachukue hatua kwa mtu kama mkulo aaaaaaaaaaaaaaaaachie ngazi
Waelimishe wabangubangu hawa wasio na data na vilaza wa katiba na sheriarais anaweza kulivunja baraza lake la mawaziri endapo yafuatayo yatatokea:
Kujiuzuru kwa waziri mkuu na mengineyo. kwa hiyo rais alivunja baraza la mawaziri. IF A=B,B=C THEN A=C FINITO.
Ya nini kumhurumia kama kuna hoja ya ukweli?? Tatizo ni kwamba hakuna hoja hapa zaidi ya ushambenga tu. Watu hata tarehe wanazitunga haziendani na siku husika, na ninyi mnaojiita Great thinkers mnaamini tu na kushabikia kila upupu humu!! shameMhurumieni huyo Membe jamani si ajabu wakati Lowasa anajiuzulu alikuwa misele huko nje ya nchi..hivyo hakupata taarifa vizuri...teh teh heee
Cha msingi yaandikwe yenye ukweli na si umbeya na ushankumpe ambazo ni porojo tu za kupotezea muda. Zimejaa makandokandoNaona hii ni wiki ya Membe
Hiyo tarehe uloiweka hapo 12/18/10 naamini kwamba unamaanisha December 18 siyo? Na sote tunajua kwamba Raia mwema hutoka kila siku ya jumatano. Sasa tarehe hiyo uloweka wewe mbona haikuwa Jumatano? hii tarehe ilikuwa jumamosi, wewe umetoa wapi hilo gazeti la Raia mwema la Jumamosi? N hata kama ulimaanisha kusema tarehe 12,, nayi haikuwa jumatano,, sasa kama si uongo na uzushi humu ndani kwa njaa zenu ni nini? N gazeti lenyewe ulifungiwa maandazi niini maana toka December hadi leo umelipekua ili ulisome utuletee upuuzi kuhusu Membe uliliweka wapi? Sote tunajua Raia mwema walikuwa hawako online by that time. Wewe ni mzushi,, MODs please toa hii thread ya majungu.