Membe ni mnafiki hana tofauti na mamba atoaye machozi anapotaka kumvamia binadamu

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,894
14,353
Habari wakuuu ,hamjambo?

Naomba nielekee kwenye mada Yangu

Nimefuatilia kwa umakini speech za mheshimiwa na mwanadiplomasia Bernard Member kwa leo, kiufupi bwana mkubwa amenikumbusha njisi mamba anavyotaka kumvamia mtu ,kwa sisi watu Wa kando kando ya ziwa na mito. tunajua kuwa mamba huwa anatoa machozi,si kwamba anakuhurumia,la hasha huwa ni machozi ya furaha na unafiki Wa mamba.

Kwa kauli ya membe kuwa utekaji si utamaduni wetu na ni kitendo kilichoibuka hivi karibuni ni uongo,utekaji ulikuwepo tangu zama za nyerere ,mwinyi,mkapa na kikwete ,haukusikika sababu technolojia ya zama hizo ilikuwa ilikuwa chini. Kwa sasa katika ulimwengu Wa smartphone kila Mtu ni mwanahari .

Kwanini namfananisha membe na mamba? Membe ni mnafiki mkubwa hana uchungu nawatanzania ,yuko hapo kimkakati,au kwa lugha nyingine anawashwa washwa akijitafutia umaarufu akiwa na matumaini ya kuwa mgombea Wa eidha ccm au kile chama cha kubadili gia angani,kwa taarifa yake kwa ccm ameula wa chuya.

Watanzania wenzangu tuwe makini sana dhidi ya watu wa jamii ya membe wanaojidai kuwa na huruma dhidi yetu ili kutimiza malengo yao ya kisiasa.
 
Membe hataki kuamini kuwa Dr Kikwete amestaafu miaka minne iliyopita

Jakaya alimjaza matumaini hewa sana kiasi kwamba wakati anawasilisha Bajeti yake ya Mwisho ya Mambo ya Nje 2015 aliaga Bunge kwa nyodo akisema atarudi kuhutubia Bunge November 2015 akiwa Mkubwa zaid

Alikuwa hatujui Wakwere kuwa Sura na Maneno yetu haya reflect yaliyomo Vifuani
 
Kho kho kho kho alilewa dolarie za waarabu.
 
Sure

Kuna DED katumbuliwa mkoani Mbeya, weka namba ya simu huenda ukafikiriwa.
 
Back
Top Bottom