Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 675
Nimemfuatilia sana kiongozi huyu wa nchi katika uhusiano wa kimataifa ndugu benard membe nimegundua ni kiongozi mchapakazi ila tatizo ni uoga ndio unamsumbua.
Kwanini nasema hivyo:
Hebu angalia katika lile sakata la yeye kuwapokea viongozi wa CHADEMA katika Jimbo lake ammeonesha mfano kuwa siasa si ugomvi nilifurahi sana kuona kuwa bado kuna watanzania wachache wenye akili hata katika CCM.
Kiukweli Membe ni mwoga katika kusema ukweli kwani alipotishiwa tu kidogo alinyamaza kimya na kuanza kuzungumza kwenye vyombo vya habari. Leo, ndugu Membe analalamika juu ya bajeti ndogo katika wizara yake na kushindwa kueleza ni vipi na ni kitu gani kinachotufanya tufikie huko kukosa fedha japo tuna rasilimali nyingi sana katika taifa letu la Tanzania.
Nashindwa kuelewa analinda cheo chake au? Ni unafiki au?
Ndugu yangu Membe najua moyoni mwako unaq dhamira ya dhati kabisa kulikomboa taifa letu nakushauri uache woga kuwa wazi ikishindikana hamia tulipo watanzania wengi yaani CHADEMA KARIBU SANA NA UOGA HUKU NI MWIKO