Membe ni mchapakazi ila ni mwoga

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
Nimemfuatilia sana kiongozi huyu wa nchi katika uhusiano wa kimataifa ndugu benard membe nimegundua ni kiongozi mchapakazi ila tatizo ni uoga ndio unamsumbua.

Kwanini nasema hivyo:
Hebu angalia katika lile sakata la yeye kuwapokea viongozi wa CHADEMA katika Jimbo lake ammeonesha mfano kuwa siasa si ugomvi nilifurahi sana kuona kuwa bado kuna watanzania wachache wenye akili hata katika CCM.

Kiukweli Membe ni mwoga katika kusema ukweli kwani alipotishiwa tu kidogo alinyamaza kimya na kuanza kuzungumza kwenye vyombo vya habari. Leo, ndugu Membe analalamika juu ya bajeti ndogo katika wizara yake na kushindwa kueleza ni vipi na ni kitu gani kinachotufanya tufikie huko kukosa fedha japo tuna rasilimali nyingi sana katika taifa letu la Tanzania.

Nashindwa kuelewa analinda cheo chake au? Ni unafiki au?

Ndugu yangu Membe najua moyoni mwako unaq dhamira ya dhati kabisa kulikomboa taifa letu nakushauri uache woga kuwa wazi ikishindikana hamia tulipo watanzania wengi yaani CHADEMA KARIBU SANA NA UOGA HUKU NI MWIKO
 
Kiongozi mzuri ni yule anaesimamia ukweli na haki bila uoga na kusimamia haki, yeye si kakosa hivyo? Basi hafai
 
Nimemfuatilia sana kiongozi huyu wa nchi katika uhusiano wa kimataifa ndugu benard membe nimegundua ni kiongozi mchapakazi ila tatizo ni uoga ndio unamsumbua.

Kwanini nasema hivyo:
Hebu angalia katika lile sakata la yeye kuwapokea viongozi wa CHADEMA katika Jimbo lake ammeonesha mfano kuwa siasa si ugomvi nilifurahi sana kuona kuwa bado kuna watanzania wachache wenye akili hata katika CCM.

Kiukweli Membe ni mwoga katika kusema ukweli kwani alipotishiwa tu kidogo alinyamaza kimya na kuanza kuzungumza kwenye vyombo vya habari. Leo, ndugu Membe analalamika juu ya bajeti ndogo katika wizara yake na kushindwa kueleza ni vipi na ni kitu gani kinachotufanya tufikie huko kukosa fedha japo tuna rasilimali nyingi sana katika taifa letu la Tanzania.

Nashindwa kuelewa analinda cheo chake au? Ni unafiki au?

Ndugu yangu Membe najua moyoni mwako unaq dhamira ya dhati kabisa kulikomboa taifa letu nakushauri uache woga kuwa wazi ikishindikana hamia tulipo watanzania wengi yaani CHADEMA KARIBU SANA NA UOGA HUKU NI MWIKO

Una maana ana nidhamu ya woga? Mtu mwoga ni mbaya kwenye uongozi
 
nenda jimbon kwake MTAMA,HALAFU NDO UJE USEME HAYO ULOYAANDIKA,KAMA ANASHINDWA KULITUMIKIA JIMBO ATAWEZA NCHI?????
 
Jamaa ana nia ya dhati ya kuona mambo yanaenda vizuri ndani ya nchi, ni mzalendo, na ni mchapa kazi, lakini hana nguvu kubwa ya kuweza kupambana na mwenzake. Shika kubwa kwake hana rasilimali fedha ambayo wenzake wanaitumia kupata ufuasi, hakika ana kazi kubwa, na kama anaepambana nae ikatokea bahati mbaya akawa Rais, nafikri atakuwa katika kipindi kigumu sana.
 
Kusema ukweli ndio uoga?
Mtu unaomba bajeti ya fedha na unapewa just 44 %
Na mbaya zaidi wabunge wanalalamika kuhusu utendaji wa wizara kwa mambo ambayo yanahitaji fedha.
Bunge lilitakiwa kuibana wizara ya fedha kuhakikisha fedha zote zinazoidhinishwa ili mwisho wa siku tupime uwezo wa waziri akiwa na nyezo zote alizotaka.
 
Huyu jamaa aliyeleta hii topic nazan katumwa kupima upepo yani anasema membe ni muoga na dhaifu hapohapo anasema ni mchapakazi hivi anajielewa kweli....Membe ni moja ya viongozi dhaifu nchi hii hata kujieleza hawezi sasa uchapakazi upo wap hapa
TUSIWE WANAFIKI
 
Hana pesa za ghadafi na walizochota hazina zipo wapi..nchi hii hakuna wazir anayepewa bajeti yote jmbo limemshnda mnasema urais...toka lini rais akaoteshwa kwan nchi ni shamba la bb la kuamka asubuh na kwenda kuchuma machungwa
 
Nimemfuatilia sana kiongozi huyu wa nchi katika uhusiano wa kimataifa ndugu benard membe nimegundua ni kiongozi mchapakazi ila tatizo ni uoga ndio unamsumbua.

Kwanini nasema hivyo:
Hebu angalia katika lile sakata la yeye kuwapokea viongozi wa CHADEMA katika Jimbo lake ammeonesha mfano kuwa siasa si ugomvi nilifurahi sana kuona kuwa bado kuna watanzania wachache wenye akili hata katika CCM.

Kiukweli Membe ni mwoga katika kusema ukweli kwani alipotishiwa tu kidogo alinyamaza kimya na kuanza kuzungumza kwenye vyombo vya habari. Leo, ndugu Membe analalamika juu ya bajeti ndogo katika wizara yake na kushindwa kueleza ni vipi na ni kitu gani kinachotufanya tufikie huko kukosa fedha japo tuna rasilimali nyingi sana katika taifa letu la Tanzania.

Nashindwa kuelewa analinda cheo chake au? Ni unafiki au?

Ndugu yangu Membe najua moyoni mwako unaq dhamira ya dhati kabisa kulikomboa taifa letu nakushauri uache woga kuwa wazi ikishindikana hamia tulipo watanzania wengi yaani CHADEMA KARIBU SANA NA UOGA HUKU NI MWIKO
ila zito alipo pata mwaliko wa kwenda na rais SUDAN baadhi yetu wakadai amehongwa, hata alivo msifu kikwate juu ya kujenga barabara jimboni mwake, baadhi ya wana chadema wakadai amehongwa pia!!
 
Kwa hakika humu ndani kuna upuuzi mwingi ambao unajiuliza unavumiliwa vipi kuendelea kuishi humu bila Mods kuchukua hatua. Watu wanaingia humu na mambo yasiyo na mashiko kuchafua watu. Kuna partisanship inayoachwa ku-prevail mpaka inatishia heshima ya JF. This is a ****! Nenda Mtama ukaone halafu ukirudi utuambie na wabunge wangapi waliofanya mambo ya manufaa kwa wananchi wao majimboni kama alivyofanya yeye! Acheni upofu na kutumika kusiko na maana!
 
Analalamika wizara yake kwa Budget aliyotengewa ni kidogo je atuambie linatoka wapi fungu la kumsafirisha JK na ujumbe wake kila kukicha kwenda nje ya nchi kwakudai anakwenda kutuombea misaada hewa???
 
nenda jimbon kwake MTAMA,HALAFU NDO UJE USEME HAYO ULOYAANDIKA,KAMA ANASHINDWA KULITUMIKIA JIMBO ATAWEZA NCHI?????

Masikini wewe hujafika jimboni kwa Membe kuona alicho fanya. Hakuna mbunge yeyote jimbo la mtama aliyefanya mambo mengi jimboni kuliko Membe! Membe jimboni kwao ni kama lulu au mungu-mwana. Fanya utafiti kabla hujaandika.
 
Woga kwa Membe ni sahihi maana yeye sio rais na ana kila Sababu ya kuendeleza mahusiano mazuri na boss wake. Baba akijamba mtoto ndio anaye claim responsibility, hapa sio woga per se ila ni nidhamu. Big up Membe taifa liko nyuma yako.
 
Mwoga hawezi kuonyesha ni mchapa kazi!
Pia kuwakaribisha chadema nyumbani haimaanishi ndiyo mchapa kazi!
Membe ni mvivu kuliko hata Jk, angalia Jk anavyokwea pipa jamaa bado kalala kwenye tanfoam
 
Back
Top Bottom