Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

Mtu mwenye akili zake hawezi kummunga mkono Ngeleja ...........................!!
 
Huyu anaota ndoto za mchana,hata ubunge wenyewe anababaisha sembuse uraisi?nadhani mleta mada ama ana undugu na Ngeleja na kwa ukoo wao ndiye jembe na tegemeo au anatest level ya maji kwa kisigino.Pia yeyote ambaye hakutoa kauli ya kusikika wakati wa ESCROW na aka opt kukaa kimya Bungeni ajue alikuwa ana commit political suicide.Hata akijisafisha kwenye majukwaa ya wanafunzi au majukwaa mengine ya aina hiyo,future yake kisiasa ni ngumu na come 2015 atakuwa na very challenging time.
 
Huwa najisikia vibaya sana mwanaume mzima unasimama kumkuwadia mwanaume mwenzio! Hii ni aibu! Mtanzania Safi haya mambo naona unayaweza sana naomba nikutume basi ukanikuwadie kwa mkeo? Au ukiona hapo ni ngumu basi hata kwa mam'ko!!!
 
nimecheka nimecheka san hv kumbe urais ni simple cn ahaaaaaaaaaaaaaa
 
VITA UCHAGUZI 2015




Kwanini JK atamwachia Mikoba Hii ni kutokana na Kukubalika na wanachama wengi na watanzania wengi kwa ujumla wao ambao wamehaidi kumpigania Mh Ngelejah endapo atasimamishwa kugombea nafasi Hiyo ambayo inaonyesha wazi ndiye mrithi sahihi hivyo watu wa tanzania wajiandae kushirikiana na mh ngeleja katika mqpambano hayo yenye kuleta tija kwa watanzania kwa ujumla


SHIME TANZANIA ,NGELEJA TISHIO NA ATOSHA 2015 TANZANIA....
Wanasema "mcheza kwako hutunzwa" lakini wapi!! Ndio mpare ampe kuwa?!
 
...yanani watanzania bana!! kweli mmeishiwa.....yaani ngeleja huyu kuna mtu mpaka sasa ana mshipa wa kusimama na kumnadi kama mgombea wa urais??kweli watanzania tumefika hapa??...hivi kweli nchi hii haina watu hata wasio na vyama ambao wanaweza kujadiliwa????..yaani kila siku humu wanajadiliwa wezi ndani ya ccm kuwa marais....hivi hata huko ccm hamna kabisa watu mpaka mnabaki kujadili wezi kuwa marais???...Huu upofu wa kiwango hiki sijawahi kuona hakika....hii inaweza kuwa laana tu..wallah..
 
Mizoga mingine bwana........ sasa huyu nguvu zote za nini kutuletea fisadi mchafu.
 
Mmmhh...ww useless kid, haya ndio madhara ya kutumika sana kinyume na maumbile...
 
Yaaani., mtoa mada ni ww mwenyewe ngeleja aa au., mpiga debee., yaan kwa kwel nimehisi kwenda kuharisha
 
Back
Top Bottom