25 Nov 2018
African Intellectuals : Prof. Rwekaza Mukandala - Hali ya Uchumi na Siasa Nchini Tanzania Miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano: "Tunatoka wapi, Tuko wapi na Tunakwenda wapi"
Well said.10 Julai 2020
Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe.
Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya Jumatatu 13 Julai 2020 Bernard Membe atarudisha rasmi kadi ya chama cha CCM na hivyo Membe amekubali kuvuliwa kwake uanachama.
Endelea kusikiliza mahojiano kuhusu kinachofuata baada ya kutimuliwa rasmi na yeye kuafiki kuwa nje ya CCM . Agusia idara za Usalama hushauri vyema lakini viongozi wanasiasa hawatilii maanani ushauri huo mzuri wa idara.
Bernard Membe anasema WanaCCM wengi katika kupiga kura hawataunga "Juhudi za Maendeleo ya Vitu" bali watapiga kura kuungana na wengine kuchangua wale wa upande wa sera za Maendeleo ya Watu.
Source: Jenerali Online
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]10 Julai 2020

Usikute unakaa kwa shemeji wa CCM apa upo bussy kumtukana membe pole sanamKama ni kiwewe cha urais basi huyu mtu no wa kuogopa kama ukoma. Nimecheka hadi basi. Membe anadai ni jasiri na special kuliko Lowasa. Membe anasema anajua anapendwa na watu kwa sababu anaona mtandaoni. Wajameni, ni mtandao gani huo tusio soma sisi wengine mbali na matusi yanayo poromoshwa kwake kila jina lake linapojitokeza? Anataka eti anataka grand coalition ya chama cha upinzani ndo akachukue form! Kama Membe unajiamini unamvuto na kupendwa sana kiasi hicho unahitaji coalition ya nini? Huo ndo ujasiri? Simply, wewe ni chizi kweli. Siyo bure.
Huelewi hata maana ya wakisemacho. Wanaposema vitu wanamaanisha vitu vinavyohusiana na maisha ya watu hao moja kwa moja.Halafu hii hoja ya sera ya maendeleo ya watu badala ya vitu naona haina uhalisia wowote.
Huwezi mtofautisha mtu na vitu, na pia huwezi kuendelea binafsi bila kuwa na vitu bora.
Vitu na watu vinategemeana katika kupima maendeleo.
Hakuna Taifa duniani lenye maendeleo ya watu bila vitu.
Ni hapa Tanzania tu, wanasiasa wetu wanataka kutudanganya kwa manufaa yao binafsi eti hakuna umuhimu wa maendeleo ya vitu. Huu ni uongo.
Kama ni kiwewe cha urais basi huyu mtu no wa kuogopa kama ukoma. Nimecheka hadi basi. Membe anadai ni jasiri na special kuliko Lowasa. Membe anasema anajua anapendwa na watu kwa sababu anaona mtandaoni. Wajameni, ni mtandao gani huo tusio soma sisi wengine mbali na matusi yanayo poromoshwa kwake kila jina lake linapojitokeza? Anataka eti anataka grand coalition ya chama cha upinzani ndo akachukue form! Kama Membe unajiamini unamvuto na kupendwa sana kiasi hicho unahitaji coalition ya nini? Huo ndo ujasiri? Simply, wewe ni chizi kweli. Siyo bure.
Halafu hii hoja ya sera ya maendeleo ya watu badala ya vitu naona haina uhalisia wowote.
Huwezi mtofautisha mtu na vitu, na pia huwezi kuendelea binafsi bila kuwa na vitu bora.
Vitu na watu vinategemeana katika kupima maendeleo.
Hakuna Taifa duniani lenye maendeleo ya watu bila vitu.
Ni hapa Tanzania tu, wanasiasa wetu wanataka kutudanganya kwa manufaa yao binafsi eti hakuna umuhimu wa maendeleo ya vitu. Huu ni uongo.
Yeye Membe alipoiba mabilioni ya gadhafi alijenga hoteli nyota tano pale mtwara. Hotel siyo " vitu"?Halafu hii hoja ya sera ya maendeleo ya watu badala ya vitu naona haina uhalisia wowote.
Huwezi mtofautisha mtu na vitu, na pia huwezi kuendelea binafsi bila kuwa na vitu bora.
Vitu na watu vinategemeana katika kupima maendeleo.
Hakuna Taifa duniani lenye maendeleo ya watu bila vitu.
Ni hapa Tanzania tu, wanasiasa wetu wanataka kutudanganya kwa manufaa yao binafsi eti hakuna umuhimu wa maendeleo ya vitu. Huu ni uongo.
Kiongozi wa hivyo ana vision ndogo Sana.. huwezi kuongoza Taifa la 50+ million people Kwa kufikiria petty issues, Selfish leaders ndio wao hufikiria maendeleo ya ndugu, jamaa na marafiki (individuals)... nadhani hizo ni KAZI za madiwani na wabunge kuhamasisha maendeleo ya jamii zao ndogo , na ni KAZI ya familia pia kupambania ustawi wao.. National leader anatengeneza miundombinu na plain playing field ili wenye Nia ya kujiletea maendeleo wapambane.Halafu hii hoja ya sera ya maendeleo ya watu badala ya vitu naona haina uhalisia wowote.