Tumawezaje kuwa mjumbe katika kitu tusichokitambua? Naomba nielimishwe hapa.
Kutambua na kuenzi mipaka ya Berlin scramble for Africa conference kweli ndio our greatest shame as a people. We a are people,Afrika ni moja.
Wandugu naombeni tuwe makini sana na information tunazotoa humu ndani. JF ni darsa hivyo ni vema tukatoa information relevant kwa manufaa ya wasiojua. With due respect naona mwandishi huyu naye kachanganya. Hebu ngoja nitoe darasa kwa manufaa ya watanzania wote.