Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.
Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.
Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?
Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?
Mleta maada, this is your first post!! nilitegemea uko na data za kutosha kutupatia wadhifa wa Membe, sifa zake kuanzia huko nyuma hadi sasa. This is a serious issue, watu hapa wataanza kulopoka bila kumjua Membe kimaadili. Nashauri umalizie homework yako ya kutuletea CV (ingawa CV si kila kitu kuhusu mtu) but at least tutajua pa kuanzia.Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.
Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.
Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?
Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?
Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.
Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.
Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?
Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?
Je anazo qualities zote za kiongozi? Ni zipi? Je ni kweli ana hasira? na itakuwaje watu ambao aliwakosea au walimkosea siku za nyuma? Maana mmoja kati ya sifa kuu za kiongozi ni kuwa mvumilivu ama sivyo itakuwa kila kukicha unanyonga watu.
Je wanaompinga wana mawazo gani kuhusu huyu mheshimiwa? Nazungumzia kuanzia akina Mudhihir mpaka waliopo madarakani juu.
Je tangu aingie Foreign kuna mabadiliko gani makubwa kashafanya?
Nauliza kwa sababu inaonekana kuwa kuna kila dalili anaweza kuwa rais wetu 2015 lakini je watanzania wategemee rais wa namna gani na presidency yake itakuwa ya namna gani?
Kwani nani kasema kuwa is given CCM kushinda come 2015? mmesahau jinsi CDM wanavyokuja juu...je wagombea wengine CCM nao vipi? Hakuna guarantee kuwa Membe ndio chaguo la CCM kuna kina Sumaye, Tibaijuka, Sitta, Nahodha, Bilal, Magufuli na bila kusahau Lowassa wote hao wanaweza kugombea na kushinda toka CCM kisha kupambana na kushindwa au kushinda na mgombea wa CDM, who knows?
na kizazi kipya nape au mwigulu nchemba
Juzi wakati akiihojiwa katika kipindi cha 45 Min. Nilishangazwa na kauli zake kwamba akioteshwa kuwa rais 2015 wabaya wake watakimbilia Kenya from 2016. Hii kwangu sikuona ni nzuri kwa mwanasiasa, lazima tukubali kutofautiana, sio kila mtu awe anakusupport wewe tu hata Yesu watu walimpinga sembuse mtu ngulu mbili. Sijafurahi kabisa hii na nahisi ana visasi