Mgonjwa,
..what i wrote was my own interpretation of what was on the newspapers. thanks for the correction.
..Mudhihiri analilia kiwanda kijengwe jimboni kwake, na anahisi Membe "nyoka wa mdimu" anamuwekea roho mbaya ktk suala hilo.
..kwa tafsiri yangu wanamtandao ni mafisadi, na Membe kuwa kinara ktk kundi hilo ni fisadi pia.
..hizi mbinu anazotumia Mudhihiri sasa hivi ndiyo mbinu alizotumia Membe na wanamtandao wenzake kuwachafua wenzao kabla ya uchaguzi wa 2005.
..it is now Membe's turn to taste his own medicine.
..kwa upande mwingine sidhani...sidhani kama Bernard Camilius Membe is a Presidential material.
..inawezekana kwamba Mudhihir anatumiwa na mafisadi, lakini ktk hili la kumshughulikia Membe, nadhani mafisadi wanafanya jambo la mbolea kwa taifa letu.
Aaah wapi Dilunga? waandishi wetu hao! direct quote ya Membe inasema jamaa hataki kulumbana na Mudhihir, kichwa cha habari "Membe akiri kuwania Urais 2015"
Ukiisoma kwa umakini mdogo tu hiyo habari hakuna mahala Membe "anakiri" kugombea urais ni maneno yaliyopandikizwa tu na mwandishi kui "sexy up" story.
Huu ni uharibifu mkubwa mwandishi kaunga unga story kwa super glue huku akijichanganya mara ukatoliki, mara OIC mradi kufikia malengo yake ya uharibifu.
Shame on you waandishi uchwara!
Membe anajulikana kuwa na mbinu chafu kwenye siasa suala la kugombea urais liko siku nyingi kulikuwa na mjadala hapa hapa JF juu ya harakati za MEMBE na pia kuanza kufuturisha waislam na kusafiri na wafanyabiashara kama kina Malinzi.
lakini kuwa waziri wa mambo ya nje sio Tiketi ya kuwa rais wa Tanzania. Mkapa hakutoka direct wizara ya Mambo ya nje alipitia wizara nyingi sana kabla ya kuwa Rais wa Tanzania, JK naye angekuwa rais toka 1995 wakati akiwa waziri wa Fedha,ndoto na mikakati ya Urais wa JK inajulikana muda mrefu kabla ya kuwa Foreign hata kama angekuwa waziri Tamisemi still JK angekuwa rais kwa mikakati aliyojiwekea.
Membe asisahau kuwa JK kakulia kwenye chama na kaanzia chini kabisa wakati yeye hana sifa hiyo na hakijui chama.
mimi sio muislam ,membe kwenye kujipendekeza kwa waislam amekuwa akiwapa futari kama njia yake ya kwenda ikulu.soma vitambulisho vya taifa umjue membe.sasa uislam wako unahusiana nini na subject matter?
Talk abt kukurupuka!
Nimeisoma tena tena hii newspaper article sijaona mahala Membe "anakiri" kugombea urais 2015.
Mudhihir ni muflis na mpayukaji tu. Limestone inapatikana across Lindi yote hii kulazimisha kiwanda kijengwe Mchinga haina mashiko.
Kama angekuwa makini kidogo wala asinge hata tamani kujengwa kiwanda cha Saruji jimboni kwake madhara yake ni makubwa kuliko hizo faida anazotegemea.
Alipoulizwa iwapo anahisi matamshi ya Mudhihir yana msukumo wa maadui wake kisiasa ambao wanahisi anaweza kugombea urais 2015, Membe alisema kwa vyovyote itakuwa hivyo.
"Bila shaka ... bila shaka. Mudhihiri ninayemfahamu mimi asingeweza kutoa matamshi ya aina ile, lakini nasema sihitaji kulumbana naye namheshimu sana," alisisitiza Membe.
mimi sio muislam ,membe kwenye kujipendekeza kwa waislam amekuwa akiwapa futari kama njia yake ya kwenda ikulu.soma vitambulisho vya taifa umjue membe.
Masatu.
Dalili zake zinajionesha wazi na hivi karibuni amekuwa akiitumia sana BBC idhaa ya kiswahili kujijengea umaarufu wa lazima.sikiliza hata BBC dira ya dunia leo.
Ahhh! im fed up na haya ma cross reference unayo nirushia, mara futari,
mara vitambulisho vya taifa na sasa nisikilize BBC! Sorry sina muda huo.
Masatu,
Tulia tu upewe mashambulizi. Huna muda wa nini? Heee, si unataka kila habari ushinde, sasa umekutana na jamaa mvumilivu kama Mudhihr. Yeye yupo polepole tu wala hana haraka. Anakupa tu page na radio wapi ukasome, na ukirudi kumjibu, anakupa nyingine. Vumilia tu, kushinda kuko karibu YEGO!!!
Bluray,
Nionyeshe mahala Membe "alipokiri" atagombea Urais 2015 kumbuka neno "kukiri"
Watanzania hatutakiwi kuangalia mambo kwa mtazamo wowote katika hayo mawili uliyotaja hapo. Tunachotakiwa ni kuangalia mambo kwa mtazamo wa Kiutu na Kimaadili, kwa sababu katika haya, siasa na dini ni sehemu tu ndani yake.
kwani kuna dhambi Membe akisema ataombea urais in 2010?
kama ipo ni ipi?