Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Kama kweli Magufuli amefanya mambo mengi na mazuri mno kama tunavyoaminishwa na Vijana wa Lumumba basi hii ndiyo fursa kwake kujipima kupitia Membe, aruhusu demokrasia ndani ya chama chake ili ushindi wake wa kishindo unogeshwe na ndugu Membe na usiwe na mawaa yeyote.
 
CCM ime survive mawimbi makubwa na hatari sana huko nyuma. Hapa sioni hatari au tishio lolote kwa CCM. Muundo na oganazesheni yake ambayo ipo kitaasisi sana kulingnisha na vyama vyote vilivyopo nchini ni miongoni mwa nguvu yake kubwa. Kinyume chake anayedhani anakwenda kukibomoa marazote wanakua wanabomoka wao kama individuals!

Nakumbuka hata ANC iliyoanzishwa 1912 wakati fulani ilituma ujumbe kuja kujifunza muundo wa CCM. UNIP ya Kenneth Kaunda ya Zambia isengefutika kama wangefuata ushauri wa CCM. Hata ile dhana kwamba hakunana mkubwa zaidi ya Chama inatekelezwa zaidi kwenye CCM kuliko kwenye vyama vingine
CCM kama chama cha siasa hakipo acha kujidanganya, kilichopo ni kikundi fulani chenye maslahi binafsi kutoka tiss, jwtz na police na idara zingine za serikali wanaotumia jina la ccm na ndio maana viongozi wa ccm karibia wote ni tiss na jwtz, wachache sana ni raia wa kawaida.
 
Back
Top Bottom