Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

Pasco, hiyo kanuni ya siri ya rais mkatoliki haikuapply kwa mwinyi na jk?
Kwanza this time around inabidi mzanzibari mmoja nae asimame. Manake watasindikiza hadi lini aisee?
King'aa, urais si ni zamu kati ya Wakristo na Waislamu, hiyo kanuni ina apply only wakati wa zamu ya Wakristo!.

Ikitokea wewe ukawa ni Muislamu, kuhusu ule mpango wetu!, nakuahidi nitasilimu kisirisiri, ili ndugu zangu wasijue!, na kama ni kile ki self, nitakununua Tanga au Mombasa, mbali kidogo na familia ili huko niweze kushiriki swala 5 kwa uhuru!.
P.
 

MKuu Pasco,

Nakubaliana na wew kabsa, ila kwa maono yangu kama itakuwa kama ulivyoeleza huo ndo utakuwa mwanzo mwingine wa historia ya nchi hii for either coalition or CCM to follow KANU... take my words brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…