Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.
Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.
Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.