the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 419
- 142
Akizungumza leo Bungeni Bernard Membe ameipigia chapuo China huku akiipiga vijembe USA.
Membe anadai kuwa kuhusu tuhuma zimazozushwa na vyombo vya Marekani kuhusu kashfa ya biashara ya pembe za ndovu kati ya Tanzania na China inatokana na wivu wa Marekani kwa taifa la China.
Alidai leo bungeni kuwa Marekani wanawivu wa kimaendeleo na China kwahiyo wanatumia propaganda chafu za kuichafua China na Tanzania na kwamba Tanzania ni taifa huru hivyo hawawezi kuchaguliwa rafiki.
Naangalia kwa jicho la kushoto juu ya shutuma hizi kwa Marekani.
Naangalia kiburi cha Marekani.
Naangalia washirika wa Marekani wakiwemo Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani na mataifa makubwa ya Ulaya Magharibi.
Nakumbuka miaka ya kupigania uhuru barani Afrika 1940s to 1980s. Nakumbuka vita baridi baina ya Mataifa ya ulaya Magharibi yakiongozwa na Marekani na mataifa yote ya mlengwa wa kijamaa yakiongozwa na USSR baadae Russia.
Naangalia ushirika wa China na CCM.
Naangalia ushirika wa vyama vinavyounda ukawa na mataifa ya Magharibi.
Baada ya yote naliangalia Taifa langu Tanzania na watu wake.
Nayaandika haya leo tarehe 07/11/2014 Nikiwa jijini Arusha (Museum) ya taifa ya kumbukumbu ya Azimio la Arusha.
Nawapa mtihani mmoja. Kafungueni kitabu cha Azimio la Arusha ukurasa wa 13 kwenye kichwa cha habari kinachosomeka "Loans and Grants will endanger our Independence"
Mbaya zaidi naifikiria 2015 ambapo CCM watalazimika kutawala kwa mabavu na namna tutakavyolipasua taifa letu la Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania pamoja na watu wake.
Source:The Arusha Declaration 5 February 1967

GIFTS AND LOANS WILL ENDANGER OUR INDEPENDENCE
Secondly, even if it were possible for us to get enough money for our needs from external sources, is this what we really want? Independence means self-reliance. Independence cannot be real if a nation depends upon gifts and loans from another for Its development. Even if there was a nation, or nations, prepared to give us all the money we need for our development, it would be improper for us to accept such assistance without asking ourselves how this would effect our independence and our very survival as a nation. Gifts which increase, or act as a catalyst, to our own efforts are valuable. Gifts which could have the effect of weakening or distorting our own efforts should not be accepted until we have asked ourselves a number of questions.
The same applies to loans. It is true that loans are better than ‘free' gifts. A loan is intended to increase our efforts or make those fruitful. One condition of a loan is that you show how you are going to repay it. This means you have to show that you intend to use the loan profitably and will therefore be able to repay it.
But even loans have their limitations. You have to give consideration to the ability to repay. When we borrow money from other countries it is the Tanzanian who pays it back. And as we have already stated, Tanzania's are poor people. To burden the people with big loans, the repayment of which will be beyond their means, is not to help them but to make them suffer. It is even worse when the loans they are asked to repay have not benefited the majority of the people but have only benefited a small minority.
How about the enterprises of foreign investors ? It is true we need these enterprises. We have even passed an Act of Parliament protecting foreign investments in this country. Our aim is to make foreign investors feel that Tanzania is a good place in which to invest because investments would be safe and profitable, and the profits can be taken out of the country without difficulty. We expect to get money through this method. But we cannot get enough. And even if we were able to convince foreign investors and foreign firms to undertake all the projects and programmes of economic development that we need, is that what we actually want to happen ?
Had we been able to attract investors from America and Europe to come and start all the industries and all the projects of economic development that we need in this country, could we do so without questioning ourselves?
Could we agree to leave the economy of our country in the hands of foreigners who would take the profits back to their countries? Or supposing they did not insist upon taking their profits away, but decided to reinvest them in Tanzania; could we really accept this situation without asking ourselves what disadvantages our nation would suffer? Would this allow the socialism we have said it is our objective to build ?
How can we depend upon gifts, loans, and investments from foreign countries and foreign companies without endangering our independence? The English people have a proverb which says, ‘He who pays the piper calls the tune'. How can we depend upon foreign governments and companies for the major part of our development without giving to those governments and countries a great part of our freedom to act as we please ? The truth is that we cannot.
Let us repeat. We made a mistake in choosing money – something we do not have – to be the big instrument of our development. We are making a mistake to think that we shall get the money from other countries; first, because in fact we shall not be able to get sufficient money for our economic development; and secondly, because even if we could get all that we need, such dependence upon others would endanger our independence and our ability to choose our own political policies.
Source:The Arusha Declaration 5 February 1967