Membe jiandae kisaikolojia

Makini sana
 


Watanzania ni wepesi tu kusahau vitu....huyu Membe is very useless kama Kikwete tu. Yote uliyoandika hapo juu Membe anahitaji kuyajibu ila hawezi na anataka kugombea urais ili iweje, aturudishe nyuma? The guy is very useless sijapata kuona. Yeye na Kikwete hawachekani hata kidogo.
 
Ahhhhh Mungu wangu kwani hata akichukua fomu watu wa Jiwe wanaogopa nini kama uchumi uko Safi, mambo yako Safi tafiti zinzaonyesha anakubalika kwa asilimia nyingi kila kitu kiko vizuri. Achukue tu kwani si haki yake kikatiba jamani au
 
Kukaa kimya ni ujinga uliopitiliza!!!

Jiwe mwenyewe ana makashifa mengi tu maana na yeye ni wale wale.

Hamuwezi kuziba watu midomo kwa vitisho vya aina hii na vingine ambavyo mmekuwa mkivitumia.

Hovyo kabisa!!!
Yaani kuhusu membe sahau kabisa achia mbali vitisho
 
Mnaogopa nini si mumwache yamkute hayo mnayoyatabiri? Hata asipofanikiwa ujumbe utakuwa umefika na historia itakuwa imeandikwa
 
ukimaliza kughani utenzi wa membe ghani na utenzi wa atunze wa magufuli! Usisahau yeye aliuza nyumba za umma mpaka kwa mahawara zake na ndugu yake pia.
HUKO CCM HAKUNA ALIYEMSAFI
 
ukimaliza kughani utenzi wa membe ghani na utenzi wa atunze wa magufuli! Usisahau yeye aliuza nyumba za umma mpaka kwa mahawara zake na ndugu yake pia.
HUKO CCM HAKUNA ALIYEMSAFI
Hiyo ghani wewe,ni size yako
 
Subiri mkuu,yote yatajulikana mahakamani,KoMbE yuko wapi?,oooh!,usiche na dola,yupi alie wahi fanikiwa nchi hii?
 
Membe si wa kubeza; kama kweli anachukua form basi CCM ni vipande 2..
 
Sasa mkuu mbona unachemka Sana,,kwani Membe alikuwa Rais?
 
Kwani kutaka kugombea ni kosa mkuu ? Mbona ilo lipo kikatiba , tatizo nini mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…