Membe: Jeshi letu linaongoza barani Afrika kwa Uimara!

Membe: Jeshi letu linaongoza barani Afrika kwa Uimara!

Vigezo vya ubora ni siri ya majeshi,Cha muhimu katika jeshi ni kuwa na nidhamu na weledi wa kupigana.TPDF inakubalika sehemu nyingi kwa vile ipo neutral kwenye migogoro ya nchi hizo na ndio cha kujivunia.
 
jeshi hili hili lenye vibaraka wa kagame au?

kwanini wanaofoji vyeti hawafukuzwi jeshini?

kuna nini huko? nini wanachoogopa?

mbona sector nyingine za serikali watu wanatimuliwa?
 
nalaumu lazy and stupid journalists wetu

hivi hatuna defense correspondences wanaojua haya mambo wakauliza maswali magumu?

mbona tunapelekana kama watoto wadogo?

Mwana JF Tanzania Ya Leo Hatuna Tena Journalism bali Tuna PR Journalism Wakati Wenzetu Wote Kuanzia Kenya, Uganda, South Africa na Karibia Nchi Nyingi za Ulaya Wana INTERPRETATIVE JOURNALISM au EFFECTIVE JOURNALISM. Matatizo Ya Journalists Wetu ni Haya Yafuatayo:
1. UELEWA MDOGO au FINYU WA MAMBO au JAMBO FULANI ANALOLIFUATILIA.
2. HAWAPENDI KUJISOMEA na KUJUA MAMBO MENGI YANAYOIZUNGUKA JAMII YAO HUSIKA.
3. WAPO KIMASLAHI ZAIDI HUKU WAKITANGULIZA USHABIKI.
4.SIYO PRO - ACTIVE Nikimaanisha KWAMBA HAWAJITUMI hadi WATUMWE NA WATUMWE NA WAHARIRI WAO.
5. WAMEJAA UMBEA na SIYO REALITY YA ISSUES.
6. WEPESI SANA KUNUNULIKA KWA UDUNI WA MAISHA YAO na KWA UMASIKINI Wa MEDIA OUTLETS ZAO.
7. HAWAJUI KUFANYA INTERVIEW na HATA WAKIFANYA HUWA HAWANA MASWALI YA MSINGI.
8. WANAPITIA KTK VYUO VISIVYO NA WAKUFUNZI AMBAO NI SERIOUS na COMPETENT.
9. WENGI WAO FANI YA JOURNALISM HAIKUWA CHAGUO LAO ILA NI LAST RESORT KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA.
10. WENGI WAO HAWANA BACKGROUND NZURI YA ACADEMIC NA HATA UWEZO WAO WA AKILI NI MDOGO.
Namalizia Tu Kwa Kukupa Mfano Mdogo tu Vuta Kumbukumbu Yako Siku ile Ya Ujio Wa Rais Obama Pale Ikulu Wakati Wakati wa Press Conference Angali Wale Waandishi Wawili wa CNN na BBC Walivyokuwa Wakiuliza Maswali Kwa Rais Obama na MJOMBA Wetu Halafu Angalia Waandishi Wetu wa Kitanzania Tena Mmoja Huwezi Amini Ni Mhariri Mkuu Wa Chombo Fulani Kipo Mkabala na Askari Monument Alivyokuwa Akiuliza Maswali. Yaani Ilikuwa ni Aibu na Kichefuchefu Tupu na Pale Ndipo Tasnia Nzima Ya Habari Tanzania Ilipotia Aibu. Mwana JF Nina Mengi ila Leo Naishia hapa ILA Tanzania Kwangu Mimi Waandishi ni Hawa:
1. Jenerali Ulimwengu.
2. Mzee Simbeye.
3. Mzee Makwaia Japo na Yeye Siku Hizi Uswahili na Siasa Zinamgharimu ila Anajua na Namkubali.
4. Comrade Wangu Richard Mghamba.
5. Kaka Yangu Manyenyere Jackton.
6. Nicholaus Ikonko.
7. Said Kubenea.
8. Samuel Kamndaya.
 
Kuna tatizo gani kusema tuko imara?? Siwaelewi nyinyi wajinga .
think

Bora Mimi Mjinga ILA Wewe ni -------- na Wanaojua Saikolojia Wanakwambia MJINGA HUWA ANAFUNDISHIKA ila -------- Kama Wewe HUWA HAMFUNDISHIKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukisema Afrika nina walakini
1. Na Misri wasemeje ?
2. Angola wasemeje ?
3. South Africa wasemeje ?
Tuache kujazana maneno yasiyo ya kweli, Ukisema 10 bora Africa angalau nitakubali

Sent from my Blackberry 9860 using Jamiiforums
 
Mkuu hata mimi nilikutana na huyo retired officer kwenye dala dala akasema hao jawaa sio tu wap tayari kimapigano bali hata chakula hawali wala hawajawahi kunywa maji....kweli TPDF wanatisha, wanaJF wasifikiri ni maskhara.

Mi nilikutana naye Baa akaniambia hata kujisaidia hawajisaidiii na wana uwezo wa kupaa angani au hata kuifukuza gari kwa miguu na kuikamata Chezea TPDF wewe
 
hata kama ni kweli sidhani kama ni kama ni sahihi kujitapa mbele ya kadamnasi, kauli ina taswira ya ubabeubabe, inaweza kutusababishia kuchokozwa, nadhani nguvu ya jeshi aidha ni kubwa au ndogo inapaswa kuwa siri.

Usiri ni mbinu muhimu ya ushindi, sio jeshini tu...

kinachotakiwa kuwa siri ni techniques za vita na sio kusema tu imara, tukisema Spain ni bora kwa kutandaza soka kuna ubaya? au kuna usiri gani unatakiwa hapo?
 
Watakao kuunga mkono ni hao half minded wenzio. Kwanza jifunze neno CONSENT kwenye masuala ya Peace Keping ndiye jukwaani kuchangia.

Sasa Nafuarahi Baadhi Ya Watanzania Wenye Akili na Upeo Kama Wewe Mnanielewa na Mna Maono thabiti Juu Ya Upuuzi Unaofanyika na Siyo Siri Kwamba Tupo DRC Kwa Maslahi Ya Marekani na Washirika Wake ambao Sisi Tunawanyeyekea na Kuwategemea na Siyo Siri Kwamba Tupo na Tunang'ang'ania Kwenda South Sudan ili Kulinda na Kusaidia Maslahi Ya China huku Huyo Huyo Maembe na Master Wake Wakifaidika na Kuacha Ndugu Zetu Wakiuwawa. Tatizo La Baadhi Yetu tupo Very Shallow ktk Kuelewa na Kupambanua Mambo na Tunapenda Kukurupuka bila Kufanya Analysis za Kutosha. Kama Tupo Imara Mbona UN au Sisi Wenyewe Kupitia Kwa Huyo Huyo Maembe Hatupeleki Majeshi Yetu Somalia? Selfish Interests Zinaigharimu Nchi na Taifa Letu na Ipo Siku Wote Mnaonipinga na Kunilaumu humu JF Mtanielewa na Mtanikubali.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, mh membe akizungumza na waandishi wa habari, amesema UN imeiomba Tz kupeleka wanajeshi kwenda kulinda amani sudan kusini kwasababu Tanzania ni nchi pekee Afrika yenye jeshi imara na linaloongoza kutoa vipigo.

SOURCE: ITV.
Mimi maoni yangu jeshi la Africa Kusini ndio bora ktk Africa sababu wana vifaa vya kisasa kushinda nchi yeyote ile Africa .Na pia hawataki kushiriki mission za kipuuzi puuzi
 
Ndio ina jeshi imara lakini je? hawa wanajeshi wetu wanapata posho za kutosha au wanatumikishwa tu.
 
kinachotakiwa kuwa siri ni techniques za vita na sio kusema tu imara, tukisema Spain ni bora kwa kutandaza soka kuna ubaya? au kuna usiri gani unatakiwa hapo?

Kwa hiyo unaamini kuwa jeshi letu ndo lenye mbinu kali kuliko majeshi yote ya Africa sijui duniani! hiyo position haiwezi badilika? vita sio mechi ya mpira Bulldog
 
Kwa mtizamo wangu ninaamini kuwa hapa afrika jwtz linaongoza kuwa na askari wakakamavu hasa katika kikosi cha infantry (askari waenda kwa miguu) na kinachofanya inaonekana kama tuna jeshi imara ni kufanya operations nyingi kwa mafanikio. Mfano kule comoro, drc, uganda, na ukomboz wa afrika. Pia tumekuwa wepesi kujitolea kitu ambacho ni nadra kwa majeshi mengine, kwa hali hii jeshi letu liko active. Kwa uhalisia bado kuna mataifa in afrika kama south, egypt nigeria. Haya yako vema sana hasa south kwani wako vema sana kwa technology, hivi karibuni walizuiwa kuzalisha silaha za nyuks kwani wanavyo vinu. Kupima uwezo wa jeshi huangaliwa vitu vingi sana ikiwemo idadi ya missiles, ndege za kivita, idadi ya askari wote, idadi ya elite soldiers, food supply, idadi ya vifaa kama magari ya vita, military alliances, technology, budget allocation to military na activeness katka operations. Katika vigezo hivo tz tupo vema sana kwa kigezo cha mwisho lakn kwa vingine bado tupo nyuma kidogo koz nchi kama south,kenya ziko vema sana kwa bajet katika jeshi. Nchi kama eritrea na somalia ziko vema sana kwa idadi ya askari, pia nigeria. Kuna mchangiaji alizungumzia kikosi kimoja eti hawali wala hawana familia, jamani kila jeshi huwa na hiki kikosi kwa jina huitwa Elite au makomando, pia si kweli kuwa hawana familia, wengne wanazo. Kauli hii ya waziri wa mambo ya nje inanipa wasiwasi koz ilitakiwa itolewe na waziri wa ulinzi tena si katika hali tete tulonayo kwa sasa. Tusilewe sifa kwa ushindi wa operations za jeshi letu, tuombe mungu atuepushe na majanga ya vita kwani hasara tulizipata kagera ni fundisho tosha
 
Jina hili membe kwa ndugu zangu Wajita na Waruri maana yake yule mnyama fisi. Mnaenda Sudan kufanya nini? Isije ikawa hili jina lina maana na sifa ya yule mnyama wa porini, tamaa ya mzee....
 
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, mh membe akizungumza na waandishi wa habari, amesema UN imeiomba Tz kupeleka wanajeshi kwenda kulinda amani sudan kusini kwasababu Tanzania ni nchi pekee Afrika yenye jeshi imara na linaloongoza kutoa vipigo.

SOURCE: ITV.

Mh! Afafanue maana wahanga wa operation tokomeza, .............!!!!
 
Hivi tutalindaje amani wakati kuna watu wanne wanapigana kule. North Sudan (Sudan, Uganda, Wapinzani na Serikali). Tupeni mlengo sisi tutapigana na nani?.
 
Back
Top Bottom