Membe: Jeshi letu linaongoza barani Afrika kwa Uimara!

Tunashukuru kwa UN kulikubari ukubali wa Jeshi letu Paul Kagame upo hapo endelea sasa uone...........

Ni Kweli Linakubalika sana Nje na Haswa Kwa Maslahi Ya Wakubwa Fulani ila Jeshi hilo hilo Limeshindwa hata tu Kulinda Maliasili na Rasilimali Zetu Ambazo Nyingi Zinaibwa ktk Himaya Zao. Wazungu Hawakukosea Kusema Kwamba Charity begins at Home Ila Kwa Tanzania Charity begins Away!!!!!!!!!

Hebu Tujaribu Kuwa Critical and Analytical ktk Masuala Ya Msingi na Tuache Cheap Politics.

Naliheshimu Sana Jeshi La Tanzania na Najua Ubora Wake na Nimewahi hata Kukaa na Wanajeshi baadhi Wa Uganda tena Wa Kikosi Maalum na Labda Leo Niseme Kwenu Kwamba Jeshi Letu Linasifika Sana Kwa Training Zake na Sishangai hata Wakufunzi Wakuu wa Majeshi Ya Uganda, Burundi na Hata Rwanda bila Kusahau Kwa Comrade Wangu Adrien Hypolite Christopher Kanambe ( Joseph Kabila ) ambaye Tunayemfahamu Tunajua Kuwa Anapenda Sana Kuitwa Jina Lake La Kitaa La KABANGE nchi Ya DRC Wengi Wao Wanatoka Tanzania ILA Kilio changu Kikubwa ni Kwanini Wanashindwa Kulinda Maslahi Muhimu Ya Nchi Yetu? I stand to be Corrected!
 
Tatizo la Membe anapenda misifa,

Na ni Mnafiki Sana na Amejaa Dharau Nyingi Sana. Huyu Nae Ndiyo Nasikia Anaandaliwa Kuwa Flag Bearer Wa Chama Tawala Kwa Matakwa Ya MJOMBA. Nitaendelea Kumpenda, Kumkubali na Nipo Tayari Hata Kumpigia Kampeni Mvi Nyingi na Siyo Maembe. Mr. Mvi Nipo Nyuma Yako Baba na Njia Ya Kwenda Magogoni Kwako Ni Nyeupe Kama Zilivyo Nywele Zako na Ninakuunga Mkono Kwa Asilimia Zote. Maembe Kalime Mtama!!!!!!!!!!!!!
 
hata kama ni kweli sidhani kama ni kama ni sahihi kujitapa mbele ya kadamnasi, kauli ina taswira ya ubabeubabe, inaweza kutusababishia kuchokozwa, nadhani nguvu ya jeshi aidha ni kubwa au ndogo inapaswa kuwa siri.

Usiri ni mbinu muhimu ya ushindi, sio jeshini tu...
Wewe Ulivyomuona Ana Akili?????????
 
wakuu hii habari ya uimara wa tpdf acheni tuu.sio habari za utani utani kama tunavyosimuliana hapa jf.leo nillipiga story na retired tpdf officer mmoja nyumbani kwake ,ambaye alilitumikia jeshi kwa miaka mingi ktk kushiriki ops mbalimbali nje ya nchi.akaniambia bwana mdogo achana kabisa na jeshi la tz.akaniambia kuna unit moja hatari sana ipo jeshini, hao jamaa hawana familia(mke/watoto).wapo elart 24/7 kimapigano.......acha niishie hapo mengine aliyo niambia ni siri yangu.
ungekaa kimya sasa
 
Haya si mambo ya kusema hadharani. Na timing yake ni mbaya sana maana ni jeshi hili hili limezua tafrani kwenye operation Tokomeza.

Sasa Nafuarahi Baadhi Ya Watanzania Wenye Akili na Upeo Kama Wewe Mnanielewa na Mna Maono thabiti Juu Ya Upuuzi Unaofanyika na Siyo Siri Kwamba Tupo DRC Kwa Maslahi Ya Marekani na Washirika Wake ambao Sisi Tunawanyeyekea na Kuwategemea na Siyo Siri Kwamba Tupo na Tunang'ang'ania Kwenda South Sudan ili Kulinda na Kusaidia Maslahi Ya China huku Huyo Huyo Maembe na Master Wake Wakifaidika na Kuacha Ndugu Zetu Wakiuwawa. Tatizo La Baadhi Yetu tupo Very Shallow ktk Kuelewa na Kupambanua Mambo na Tunapenda Kukurupuka bila Kufanya Analysis za Kutosha. Kama Tupo Imara Mbona UN au Sisi Wenyewe Kupitia Kwa Huyo Huyo Maembe Hatupeleki Majeshi Yetu Somalia? Selfish Interests Zinaigharimu Nchi na Taifa Letu na Ipo Siku Wote Mnaonipinga na Kunilaumu humu JF Mtanielewa na Mtanikubali.
 
Na ni Mnafiki Sana na Amejaa Dharau Nyingi Sana. Huyu Nae Ndiyo Nasikia Anaandaliwa Kuwa Flag Bearer Wa Chama Tawala Kwa Matakwa Ya MJOMBA. Nitaendelea Kumpenda, Kumkubali na Nipo Tayari Hata Kumpigia Kampeni Mvi Nyingi na Siyo Maembe. Mr. Mvi Nipo Nyuma Yako Baba na Njia Ya Kwenda Magogoni Kwako Ni Nyeupe Kama Zilivyo Nywele Zako na Ninakuunga Mkono Kwa Asilimia Zote. Maembe Kalime Mtama!!!!!!!!!!!!!
Utake usitake,Membe for Presdential 2015,hana kashfa yoyote,atauzika akibeba flag ya ccm,laigwani ameharibu image yake mbele ya watu ingawa yu strong,kuchange mind outlook of Tanzanians toward Lowasa ni ngumu mno,naam! Membe mbeba bendera ya ccm 2015.hutaki kanywe sumu!
 
kumbe mamvi ni babaako?
 
Sasa Nafuarahi Baadhi Ya Watanzania Wenye Akili na Upeo Kama Wewe Mnanielewa na Mna Maono thabiti Juu Ya Upuuzi Unaofanyika na Siyo Siri Kwamba Tupo DRC Kwa Maslahi Ya Marekani na Washirika Wake ambao Sisi Tunawanyeyekea na Kuwategemea na Siyo Siri Kwamba Tupo na Tunang'ang'ania Kwenda South Sudan ili Kulinda na Kusaidia Maslahi Ya China huku Huyo Huyo Maembe na Master Wake Wakifaidika na Kuacha Ndugu Zetu Wakiuwawa. Tatizo La Baadhi Yetu tupo Very Shallow ktk Kuelewa na Kupambanua Mambo na Tunapenda Kukurupuka bila Kufanya Analysis za Kutosha. Kama Tupo Imara Mbona UN au Sisi Wenyewe Kupitia Kwa Huyo Huyo Maembe Hatupeleki Majeshi Yetu Somalia? Selfish Interests Zinaigharimu Nchi na Taifa Letu na Ipo Siku Wote Mnaonipinga na Kunilaumu humu JF Mtanielewa na Mtanikubali.
sasa naona humu unapiga kampeni,comment kama hizi zinachefuaga sana,kama usingizi haujaisha kalale kwanza
 
Jeshi imara Vp why hawajapelekwa Somalia au Central africa..???wao ni imara kwa Kulinda amani UN PeaceKeeping Mission ambaz ni dili za Wakubwa.

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.
 
wakuu hii habari ya uimara wa tpdf acheni tuu.sio habari za utani utani kama tunavyosimuliana hapa jf.leo nillipiga story na retired tpdf officer mmoja nyumbani kwake ,ambaye alilitumikia jeshi kwa miaka mingi ktk kushiriki ops mbalimbali nje ya nchi.akaniambia bwana mdogo achana kabisa na jeshi la tz.akaniambia kuna unit moja hatari sana ipo jeshini, hao jamaa hawana familia(mke/watoto).wapo elart 24/7 kimapigano.......acha niishie hapo mengine aliyo niambia ni siri yangu.

Be Objective na Siyo Subjective Kama Ulivyo Wewe. Je Umeshawahi Kufanya Mazunguzo na Askari wa Majeshi Mengine barani Africa ili na Wao Wakupe Uimara wa Majeshi Yao???? Kwahiyo Uwezo Wako wa Kuchambua Mambo Ndiyo Umeishia hapo???? Ushauri Wangu Ukipata Muda Nenda Pale Kunduchi Kuna Chuo Cha Kijeshi ambacho Kinatoa Mafunzo Maalum Ya Wanajeshi wa Ndani na Wa Kimataifa na Utawakuta Askari Tena Wa Vyeo Vya Juu Kutoka Nchi mbalimbali za Africa Kisha Fanya Mahojiano Nao Kuhusu Uimara wa Majeshi Yao ila Nijuavyo Walivyo na Akili Kamwe Hawataweza Kukupa Siri Zao na ni Tanzania Peke Yetu Tunaojitapatapa na Kuropoka Hovyo Huku Wenye Uwezo Wao Mkubwa Wa Kijeshi Wakitusoma. TUACHE SIFA ZA KIJINGA!!!!!!!!!!!!! Sasa Kama Sisi Ni Imara Je Angola au Nigeria au Afrika Ya Kusini Wao Wasemeje? NIJUAVYO NI KWAMBA JESHI LETU LINAZIDI KUIMARIKA ila bado HALIJAWA IMARA au THABITI Kiasi Cha KUJISIFU. Shame on You Guys!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna tatizo gani kusema tuko imara?? Siwaelewi nyinyi wajinga .
think
 
Kama kuna mtu anaharibu taswira ya taifa letu kwa majirani ni Membe na sababu ni kuutafuta urais! Nilikwisha andika kwamba wanasiasa waandamizi kama huyu waliopo serikalini wajiondoe ktk nyadhifa zao hizi watafute urais wakiwa nje ya madaraka ya setikali. Wasitumie nafasi hizi kuichafua nchi kwa majirani kwa maslahi binafsi!

Sema Wewe Mwana JF Mwenzangu Nikisema Mimi GENTAMYCINE Naonekana Mbaya. Kuna Watu Humu JF Wana Akili Kubwa Kama Vipenzi Wangu Wayahudi na Ninafurahi Sana hata Kusoma Post Zao. Big Up Mwana JF!!!!!!!!!!!!!!
 
Be Objective na Siyo Subjective Kama Ulivyo Wewe. Je Umeshawahi Kufanya Mazunguzo na Askari wa Majeshi Mengine barani Africa ili na Wao Wakupe Uimara wa Majeshi Yao???? Kwahiyo Uwezo Wako wa Kuchambua Mambo Ndiyo Umeishia hapo???? Ushauri Wangu Ukipata Muda Nenda Pale Kunduchi Kuna Chuo Cha Kijeshi ambacho Kinatoa Mafunzo Maalum Ya Wanajeshi wa Ndani na Wa Kimataifa na Utawakuta Askari Tena Wa Vyeo Vya Juu Kutoka Nchi mbalimbali za Africa Kisha Fanya Mahojiano Nao Kuhusu Uimara wa Majeshi Yao ila Nijuavyo Walivyo na Akili Kamwe Hawataweza Kukupa Siri Zao na ni Tanzania Peke Yetu Tunaojitapatapa na Kuropoka Hovyo Huku Wenye Uwezo Wao Mkubwa Wa Kijeshi Wakitusoma. TUACHE SIFA ZA KIJINGA!!!!!!!!!!!!! Sasa Kama Sisi Ni Imara Je Angola au Nigeria au Afrika Ya Kusini Wao Wasemeje? NIJUAVYO NI KWAMBA JESHI LETU LINAZIDI KUIMARIKA ila bado HALIJAWA IMARA au THABITI Kiasi Cha KUJISIFU. Shame on You Guys!!!!!!!!!!!!!!
hivi we umeamkaje leo?
 
Inawezekana wamepewa mandate na UN ya kutoa kichapo kama DRC na si kulinda amani tu.

Kuhusu vijana kufa; hiyo ndo kazi ya jeshi...kwanza ungejua wengi wanaona ni bahati kupigana under UN...(maslahi)

Siyo Kweli Kwani Nimepanga Jirani na MJEDA Mmoja na Alikwenda hata Huko Darfur na Amenisimulia Mambo Mengi Ambayo Nahisi Kuna mengine hata Huyo Maembe Wenu Hayajui Ya Kuhusu Upelekwaji Wa Majeshi Yetu Kulinda Amani Nje Ya Nchi ila Kwa Maadili Siwezi Kuyaanika Hapa ila Kwa Kifupi tu hata Wao Sasa Hawana Hamu Ya Kwenda Huko Kwani Wengi Wao Wanapigwa Sana Panga Pesa Zao na Wanadhulumiwa na Wanaofaidika ni Wakubwa Zao. IPO SIKU MTANIELEWA TU!!!!
 
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, mh membe akizungumza na waandishi wa habari, amesema UN imeiomba Tz kupeleka wanajeshi kwenda kulinda amani sudan kusini kwasababu Tanzania ni nchi pekee Afrika yenye jeshi imara na linaloongoza kutoa vipigo.

SOURCE: ITV.

Message sent & delivered; Loud & Clear!!! PAUL KAGAME and your cohorts; never say you were not warned or you did not know! in case of any doubts or querries; ask the M23 warlord; Sultan Makenga.
 
Siyo Kweli Kwani Nimepanga Jirani na MJEDA Mmoja na Alikwenda hata Huko Darfur na Amenisimulia Mambo Mengi Ambayo Nahisi Kuna mengine hata Huyo Maembe Wenu Hayajui Ya Kuhusu Upelekwaji Wa Majeshi Yetu Kulinda Amani Nje Ya Nchi ila Kwa Maadili Siwezi Kuyaanika Hapa ila Kwa Kifupi tu hata Wao Sasa Hawana Hamu Ya Kwenda Huko Kwani Wengi Wao Wanapigwa Sana Panga Pesa Zao na Wanadhulumiwa na Wanaofaidika ni Wakubwa Zao. IPO SIKU MTANIELEWA TU!!!!

wewe si ulishakiri hapa ni mnyarwanda? stuka!
 
Utake usitake,Membe for Presdential 2015,hana kashfa yoyote,atauzika akibeba flag ya ccm,laigwani ameharibu image yake mbele ya watu ingawa yu strong,kuchange mind outlook of Tanzanians toward Lowasa ni ngumu mno,naam! Membe mbeba bendera ya ccm 2015.hutaki kanywe sumu!

Ha ha ha!Acha kujidanganya mkuu eti Membe atakuwa Rais wa nchi hii.Kama Upinzani utapoteza mwelekeo kabla ya 2015 nitachapuka upande wa pili kwenda kumchagua Lowassa,Nitamchagua Lowassa tu pale CCM watakapompitisha January Makamba au Benard Membe kuwa mgombea wao na Lowassa kugombea akiwa nje ya Chama.Amini nakuambia kama CCM watampitisha Membe Watanzania wataenda kupiga kura za kupinga chaguo la Kikwete na si kwasababu wanampenda Lowassa.Membe ni Kikwete mwingine sioni tofauti baina yao kabisa,Nani ataka kutawaliwa na Kikwete mwingine?Tumetaabika mno na utawala huu so all we need is another JK?Over my dead body will i ever vote for another empty-headed clown.
 
jeshi imara vp why hawajapelekwa somalia au central africa..???wao ni imara kwa kulinda amani un peacekeeping mission ambaz ni dili za wakubwa.

Sent from my iphone in stralis cabin.

paka (paul kagame)on work
 
Back
Top Bottom