Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, mh. Membe akizungumza na waandishi wa habari, amesema UN imeiomba Tz kupeleka wanajeshi kwenda kulinda amani Sudan Kusini kwasababu Tanzania ni nchi pekee Afrika yenye jeshi imara na linaloongoza kutoa vipigo.
SOURCE: ITV.
-------------------
SOURCE: ITV.
-------------------
WanaJF,
Waziri wa mambo wa nje na ushirukiano wa kimataifa, mhe Membe, ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari wenye lengo la kutaarifu umma kuhusu maamuzi ya serikali kupeleka majeshi yetu Sudan ya kusini.
Maamuzi hayo ya serikali yalifikiwa baada ya maombi kutoka kwa baraza la usalama la umoja wa mataifa kuitaka serikali ya Tanzania kusaidia nguvu ya kijeshi nchini Sudan ya kusini ili kulinda ulinzi.
Aidha, mhe Membe hakusita kuzungumzia suala lake la adhabu aliyopewa na CCM.
My take,
JWTZ bravo, sifa hii iendelezwa kwani inaipa nchi yetu heshima kimataifa.