Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Angalau ccm wanatoa majibu kwa maoni ingekua upande mwingine Membe angeambulia matusi na kuitwa msaliti. Mimi si kada wa chama chochote lakini hua napitia comments hapa mnamwita ZZK ni msaliti laiti ZZK angekua ccm kaingia upinzani angeitwa akili imemrudi. Siasa zetu bado sana na nyumbu ni mimi na wewe iwe ccm ama ukawa na hata mimi ambaye si mwanachama wote tunaohelea ktk bahari ya nyumbu maana wanasiasa wametugeuza nyumbu. Lakini wengi zaidi wasiotumia akili zao na kudhihirisha ni nyumbu wa ukweli ni watu kama wewe na CDM ya mbowe. Samahani kama nimekukwaza lakini ndiyo ukweli huwezi kumtukana mtu na kumwita fisadi miaka 8 mpaka kufikia miezi mitatu ksbla ya uchaguzi halafu baadae useme ni msafi ni nyumbu pekee ktk jamii ya wanyama anayeweza kulinganishwa na binadamu wa hivyotatizo la ccm hamtaki kushauriwa wala kukosolewa. na sasa tangu aingie magufuli uki kusoa serekeli unaonekana wewe sio mtanzania mzalendo.. kila anachofanya magufuli lazima wote tukiunge mkono hata kama ni ujinga... kwani magufuli yeye ni mungu hakoseagi? membe ana uhuru wa kutoa maoni yake na hii inaonesha jinsi gani ccm ni chama dhaifu kwani hawako tayar kumsikia mtu ambae haungi mkono sera zao
Membe ni HERO eti eeh! Kamanda huyu apewe uanachama chadema!Hamumuelewi kwasababu siku zote hamtaki kuambiwa ukweli.
Kingunge- nyumbu aliyezeeka maini.Mmh jamani Kingunge yupo nchi hii aliyoitabiria kuchimbika na kutokalika!maana duh nikiyakumbuka matamshi yale na kilichopo kwa sasa siamini
Angalau ccm wanatoa majibu kwa maoni ingekua upande mwingine Membe angeambulia matusi na kuitwa msaliti. Mimi si kada wa chama chochote lakini hua napitia comments hapa mnamwita ZZK ni msaliti laiti ZZK angekua ccm kaingia upinzani angeitwa akili imemrudi. Siasa zetu bado sana na nyumbu ni mimi na wewe iwe ccm ama ukawa na hata mimi ambaye si mwanachama wote tunaohelea ktk bahari ya nyumbu maana wanasiasa wametugeuza nyumbu. Lakini wengi zaidi wasiotumia akili zao na kudhihirisha ni nyumbu wa ukweli ni watu kama wewe na CDM ya mbowe. Samahani kama nimekukwaza lakini ndiyo ukweli huwezi kumtukana mtu na kumwita fisadi miaka 8 mpaka kufikia miezi mitatu ksbla ya uchaguzi halafu baadae useme ni msafi ni nyumbu pekee ktk jamii ya wanyama anayeweza kulinganishwa na binadamu wa hivyo
Jiunge na yake makundi ya Yosso, Mbwa Mwitu , Panya Road na vibaka wa mitaani!Nyumbu ni wewe na mama yako unayelaliamakalio ya nyumbu mwenzako zitto aliteshindwa kwa kila kitu muna laana mpaka siku ya kufa kwenu