Safiiiiiiii 2020 ni Membe
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Me ni CCM ila 2020.... namfyeka muuaji na mtekajikwa hiyo kwa sasa upande wa Ukawa EDO hana nafasi tena?
Membe ni mwana ccm.kwa hiyo kwa sasa upande wa Ukawa EDO hana nafasi tena?
Kuwa mpole ukitaka kujua hana jipya mpange Membe Vs JPM pawe na usawa, iwe nje au ndani ya CCM, au kwa kura za Watanzania, Membe anashinda kirahisi,..... Kama hana mvuto muache afu wawapambanishe na MAGU jibu utalipata na nadhani unalijuaNdugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Huyu ni Shetani tena Shetani ana afadhaliMzee Meko ni mwoga sana, hajiamini, ni mtu mwenye hofu muda wote, na ndio inapelekea kufanya matendo yote mabaya kwa wale wote walio kinyume na mawazo yake.
Chaguo la wana ccm.Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Mbona kama una jazba? Una uhakika kamati ile ile ingepewa nafasi leo ifanye yale yale kwa sababu zile zile ingefanya?Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Daudi na GoliathNdugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
2020 ni MembeChaguo la wana ccm. View attachment 958734
DuuhMe ni CCM ila 2020.... namfyeka muuaji na mtekaji
Kama hana jipya kwanini uitegemee kamati ya maadili.Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015, naamini bado ipo palepale hata huyo akiruhusiwa kuchukua fomu ya kuteuliwa ndani ya chama kugombea urais itafanya kazi yake tu. Hivyo, suala la Membe mimi naona kuwa watu wanapoteza muda wao tu kulijadili.
Bwana Bernado, salaaaam!Chaguo la wana ccm. View attachment 958734