Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Membe arudishe pesa aliyokwapua kwenye wizara yake ya mambo ya nje .

Kuna tatesi kuwa anataka kuamia ACT Kabla ya kuamia ACT wazalendo anatakiwa arudishe pesa za ufisadi alizofanikisha kukwapua akiwa waziri.

Magufuli nashauri amshusugulikie huyu mtu maana amefanya mambo mengi ya kulitia taifa hasara.

Ukisoma kwa umakini Vitabu vya budget ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka 10 mfululizo kuna mambo ya kushutua kama si kushangaza.

Kipindi yupo wizara ya mambo ya nje kuna account za nje ya nchi zilikuwa kila mwaka wa budget zikiwekewa pesa kwenye nchi mbali mbali wakati pesa hizo zilikuwa hazifanyi kazi yeyote .

Pesa hizo ziliwekwa eti kulinda account hizo za bank zisiwe dormant wakati mwisho wa mwaka hakuna pesa zilizokuwa zikirejeshwa.

Membe alifaidika na pesa hizi haiwezekani account zaidi ya 60 kwenye nchi mbali mbali kila account unakuta inawekewa dollar 3, 000 mpaka 5,000 ili tu kuilinda account hiyo isifungwe alafu mwaka unaofuata zinawekwa tena bila kujari zilizowekwa mwaka uliopita wa budget zilienda wapi na zikaendelea kuwekwa kwa miaka 10 mfululizo.

Kwanza hizo account nyingine nilikuwa hewa.

Kiufupi Membe anatakiwa kuchunguzwa kwa ufisadi alioufanya kupitia wizara ya mambo ya nje ..

Nitashangaa sana hata Zitto kama atampokea pale ACT wazalendo wakati Zitto mwaka Jana ndiye alikuwa wa kwanza kusema Membe amekwapua pesa za Gaddafi.

Kiukweli Membe naye ni fisadi tu kama walivyo mafisadi wengine kaikamua sana hii nchi kupitia wizara ya mambo ya nje.

Nashauri Magufuli amshugulikie kweli kweli bila huruma hawa ndio wamelitia taifa hasara ya muda mrefu.
 
Acha wivu
 
Hii nchi ni raha sana kuishi ukiwa hauna title wala pesa. Hakuna mwenye mpango na wewe ila ukithubutu kuwa na jina tu hapa nchini mambo ndio kama haya lazima yajitokeze. Mbaya zaidi ukiwa mwanasiasa utaanza kufuatiliwa mpaka muda wako wa kulala.
 
Membe arudishe pesa aliyokwapua kwenye wizara yake ya mambo ya nje .

Kuna tatesi kuwa anataka kuamia ACT Kabla ya kuamia ACT wazalendo anatakiwa arudishe pesa za ufisadi alizofanikisha kukwapua akiwa waziri.

Magufuli nashauri amshusugulikie huyu mtu maana amefanya mambo mengi ya kulitia taifa hasara.

Ukisoma kwa umakini Vitabu vya budget ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka 10 mfululizo kuna mambo ya kushutua kama si kushangaza.

Kipindi yupo wizara ya mambo ya nje kuna account za nje ya nchi zilikuwa kila mwaka wa budget zikiwekewa pesa kwenye nchi mbali mbali wakati pesa hizo zilikuwa hazifanyi kazi yeyote .

Pesa hizo ziliwekwa eti kulinda account hizo za bank zisiwe dormant wakati mwisho wa mwaka hakuna pesa zilizokuwa zikirejeshwa.

Membe alifaidika na pesa hizi haiwezekani account zaidi ya 60 kwenye nchi mbali mbali kila account unakuta inawekewa dollar 3, 000 mpaka 5,000 ili tu kuilinda account hiyo isifungwe alafu mwaka unaofuata zinawekwa tena bila kujari zilizowekwa mwaka uliopita wa budget zilienda wapi na zikaendelea kuwekwa kwa miaka 10 mfululizo.

Kwanza hizo account nyingine nilikuwa hewa.

Kiufupi Membe anatakiwa kuchunguzwa kwa ufisadi alioufanya kupitia wizara ya mambo ya nje ..

Nitashangaa sana hata Zitto kama atampokea pale ACT wazalendo wakati Zitto mwaka Jana ndiye alikuwa wa kwanza kusema Membe amekwapua pesa za Gaddafi.

Kiukweli Membe naye ni fisadi tu kama walivyo mafisadi wengine kaikamua sana hii nchi kupitia wizara ya mambo ya nje.

Nashauri Magufuli amshugulikie kweli kweli bila huruma hawa ndio wamelitia taifa hasara ya muda mrefu.

Huko kwenye chama chenu ukihamia upinzani ndio unakuwa fisadi kabla ya hapo weweni mtu safi
 
Endeleeni kuisoma namba, kuna kama kauasi fulani kanaanza kutokota huko CCM kama chakula maarufu cha Wachaga kiitwacho KITALOLO! Ahahaaa!! Ohoooho!! Uhauhaa aaaaa!!
 
Hivi escraw hakuwepo kweli? kama Gurumo na ile 'royal family' walihusika je huyu jamaa sijui kama atakosa kuwepo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom