Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

Rumours are anataka kujiunga ACT...
Tusubiri na tuone.
Ok naunga mkono hoja ila nataka collabo liwe Lipumba,Slaa na Membe ili tupate upinzani wenye tija lakini nchi tutawapa baada ya Magufuli kumaliza miaka yake 10
 
Sijui keshahamia?
Ah,sijui bwana.

Wewe nae ndio walewale tu ,nipishege huko.
 
Nahisi Membe anataka kulipua bomu flan, ila CCM wanajiharishia pembeni, wanatafuta njia ya kumzima
 
Membe arudishe pesa aliyokwapua kwenye wizara yake ya mambo ya nje .

Kuna tatesi kuwa anataka kuamia ACT Kabla ya kuamia ACT wazalendo anatakiwa arudishe pesa za ufisadi alizofanikisha kukwapua akiwa waziri.

Magufuli nashauri amshusugulikie huyu mtu maana amefanya mambo mengi ya kulitia taifa hasara.

Ukisoma kwa umakini Vitabu vya budget ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka 10 mfululizo kuna mambo ya kushutua kama si kushangaza.

Kipindi yupo wizara ya mambo ya nje kuna account za nje ya nchi zilikuwa kila mwaka wa budget zikiwekewa pesa kwenye nchi mbali mbali wakati pesa hizo zilikuwa hazifanyi kazi yeyote .

Pesa hizo ziliwekwa eti kulinda account hizo za bank zisiwe dormant wakati mwisho wa mwaka hakuna pesa zilizokuwa zikirejeshwa.

Membe alifaidika na pesa hizi haiwezekani account zaidi ya 60 kwenye nchi mbali mbali kila account unakuta inawekewa dollar 3, 000 mpaka 5,000 ili tu kuilinda account hiyo isifungwe alafu mwaka unaofuata zinawekwa tena bila kujari zilizowekwa mwaka uliopita wa budget zilienda wapi na zikaendelea kuwekwa kwa miaka 10 mfululizo.

Kwanza hizo account nyingine nilikuwa hewa.

Kiufupi Membe anatakiwa kuchunguzwa kwa ufisadi alioufanya kupitia wizara ya mambo ya nje ..

Nitashangaa sana hata Zitto kama atampokea pale ACT wazalendo wakati Zitto mwaka Jana ndiye alikuwa wa kwanza kusema Membe amekwapua pesa za Gaddafi.

Kiukweli Membe naye ni fisadi tu kama walivyo mafisadi wengine kaikamua sana hii nchi kupitia wizara ya mambo ya nje.

Nashauri Magufuli amshugulikie kweli kweli bila huruma hawa ndio wamelitia taifa hasara ya muda mrefu.
Kuna mtu tunamdai pesa za kivuko cha mv Bagamoyo na nyumba za Serikali mbona yeye asemwi au ni mungu mtu ?
 
Tusubiri tuone ila akienda atabadilisha kidogo political trend kwa sababu anasemwa kwa tuhuma nyingi sana since ktk mchakato wa urais ndani ya CCM
 
Vipi na yule muhusika wa kile kivuko kibovu cha Bagamoyo naye pia achunguzwe.
 
Membe arudishe pesa aliyokwapua kwenye wizara yake ya mambo ya nje .

Kuna tatesi kuwa anataka kuamia ACT Kabla ya kuamia ACT wazalendo anatakiwa arudishe pesa za ufisadi alizofanikisha kukwapua akiwa waziri.

Magufuli nashauri amshusugulikie huyu mtu maana amefanya mambo mengi ya kulitia taifa hasara.

Ukisoma kwa umakini Vitabu vya budget ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka 10 mfululizo kuna mambo ya kushutua kama si kushangaza.

Kipindi yupo wizara ya mambo ya nje kuna account za nje ya nchi zilikuwa kila mwaka wa budget zikiwekewa pesa kwenye nchi mbali mbali wakati pesa hizo zilikuwa hazifanyi kazi yeyote .

Pesa hizo ziliwekwa eti kulinda account hizo za bank zisiwe dormant wakati mwisho wa mwaka hakuna pesa zilizokuwa zikirejeshwa.

Membe alifaidika na pesa hizi haiwezekani account zaidi ya 60 kwenye nchi mbali mbali kila account unakuta inawekewa dollar 3, 000 mpaka 5,000 ili tu kuilinda account hiyo isifungwe alafu mwaka unaofuata zinawekwa tena bila kujari zilizowekwa mwaka uliopita wa budget zilienda wapi na zikaendelea kuwekwa kwa miaka 10 mfululizo.

Kwanza hizo account nyingine nilikuwa hewa.

Kiufupi Membe anatakiwa kuchunguzwa kwa ufisadi alioufanya kupitia wizara ya mambo ya nje ..

Nitashangaa sana hata Zitto kama atampokea pale ACT wazalendo wakati Zitto mwaka Jana ndiye alikuwa wa kwanza kusema Membe amekwapua pesa za Gaddafi.

Kiukweli Membe naye ni fisadi tu kama walivyo mafisadi wengine kaikamua sana hii nchi kupitia wizara ya mambo ya nje.

Nashauri Magufuli amshugulikie kweli kweli bila huruma hawa ndio wamelitia taifa hasara ya muda mrefu.
Sasa Boss kama Lowasa alipokelewa CHADEMA na akawekwa kuwa ndo mgombea uraisi within one day huku alikuwa kwa list of shame ya CHADEMA,, kwanini ushangae Membe kuhamia ACT wakati hata kama ni ufisadi huo unaosema ni wa ela ndogo ndogo haufikii ata ela ya mboga tu,,??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom