Unaweza kuwa na Bifu na RAIS wa nchi!? Tena nchi unayoishi!? Tuwe makini msijisahau kwamba huyo jamaa huwa hajiulizi mara mbili. Membe angetulia tu huko alipo kwa sasa. Sidhani Kama ametumia busara kutoa hayo maneno dhidi ya RAIS.
Katibu Mkuu Ikulu, Ombeni Sefue, tunaomba umjibu Membe kwa facts and figures. Kukaa kimya itaonyesha ni kweli na hii itashusha heshima ya Rais kuwa anafanya mambo bila kujua matokeo ya hatua anazochukua. Ombeni Sefue uwanja ni wako.Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================
NADHANI HAJATUMWA NA MTU WALA NINI, ILA NI MAMBO TU YA KUAMUA BILA KUPEPESA MACHO NA KUSEMA YA MOYONI BAADA YA MAMBO KWENDA MRAMA, IA SJUI YTAMSHAWISHI jpm AU NDO ATAONGEZA MISIMAMO YAKE!!! MAANA NAYE NDO WALEWALE WASIOAMBILIKA HADI GARI LIKWAME TOPENI, JAPO HAWATASEMA LIMEKWAMA ILA WATATOA TU SABABU HATA KAMA NI ZA KITOTO.Acha wafu wazikane wenyewe
Mlitaka Membe awe Rais muicheke ujinga CCM?Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================
Looh, na hii kali. First Amendment Rights?? Unajua unacho andika au ni ulimbukeni wa uelewa. Katiba ya Marekani unaihusisha na habari hii? Basi at least nenda Google ujue First Amendment Rights ni kitu gani.Tatizo linakuja hapo kwenye kuacha kila mtu aongee anachotaka ndio tutakapokuwa nchi ya wajinga Kama ulivyoiweka.
Nchi yoyote huwa Inaongozwa na SHERIA NA KANUNI. Otherwise itakuwa Chaos.
Kuna kitu kinaitwa "First Amendment Rights" nafikiri umeshaisikia hiyo kitu!!! Freedom of speech inaangukia humo, lakini bado kuna sheria ambazo zinaipa mipaka hiyo freedom of speech na ukiitumia vibaya inaweza kukuletea matatizo ya kisheria.
Kuna tofauti ya KUSEMA na KUSEMA UKWELI. Watu wengi huwa wanasema tuu bila hata kufanya utafiti kidogo na kujua ukweli wa Jambo husika. Mimi nafikiri kistaarabu kabisa na unyenyekevu wa hali ya juu naomba nipingane na wewe katika hoja yako. Ahsante.
JPM ni binadamu, anaweza akafanya makosa, kumkosoa siyo dhambi ni mojawapo ya kumsaidia.... tuache mawazo ya kijinga kudhani ni kosa kukosoa.. nina hakika JPM yupo tayari kukosolewa anapokosea...nyerere aliifikisha nchi hii pabaya kiuchumi na kielimu kwasababu hakupenda kabisa kukosolewa hata alipofanya makosa, ilifka mahali watendaji wake na wananchi walikuwa wakimwitikia katika kila jambo kuiridhisha nafsi yake tu, lakini ukweli ukabaki palepale..ndiyo maana leo tunaulizana maswali ambayo hakuna aliye na majibu nayo…
ben membe kumkosoa mh rais ni mtizamo wake, asilaumiwe, ni maoni yake, na maoni yanaweza kuwa sahihi au siyo sahihi...katoa mchango wake mh rais ataufanyia kaziJPM ni binadamu, anaweza akafanya makosa, kumkosoa siyo dhambi ni mojawapo ya kumsaidia.... tuache mawazo ya kijinga kudhani ni kosa kukosoa.. nina hakika JPM yupo tayari kukosolewa anapokosea...nyerere aliifikisha nchi hii pabaya kiuchumi na kielimu kwasababu hakupenda kabisa kukosolewa hata alipofanya makosa, ilifka mahali watendaji wake na wananchi walikuwa wakimwitikia katika kila jambo kuiridhisha nafsi yake tu, lakini ukweli ukabaki palepale..ndiyo maana leo tunaulizana maswali ambayo hakuna aliye na majibu nayo…
Lakini pia hao wanaokosoa si lazima sana kuwakubali kuwa wako sahaihi 100% wakati mwingine wanakosoa kwakuwa wanaona wamekosa mbinu ya kuzuia madudu yao yasijulikane huko ughaibuni, kwa maana kwamba wanatafuta mwanya safari za ughaibuni ziruhusiwe ili wawatume watu wao wakasawazishe mambo kabla ya hali haijawa mbaya
Anasema "If you isolate yourself you will be isolated (ukijitenga, utatengwa).”Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================