Alikiri mwenyewe hivyoHajakatwa mkia ?
Wengine ukiwakata mkia wananona zaidi.Hajakatwa mkia ?
Mungu ibariki TanzaniaNaam,katika pitapita zangu nimesikia mahali kuwa Ndugu Bernard Membe ameanza kuzichanga karata zake,na haya yanayoendelea ni moja ya plan zake kuelekea 2020!!
Lengo likiwa kutikisa kiberiti ili watu waone ni namna gani JPM haungwi mkono na vigogo wa CCM japo wapo kimya tu!!!!
Tetesi zilizopo ni kuwa bado kuna clip nyingine 3 za vigogo ambazo ziko pending kusubiri wakati sahihi kuziachia!!!!
Yajayo yanafurahisha!!!!!!
2020 MEMBE njia nyeupe.Membe hafiki popote. Bora Maguguli mara elfu kuliko Membe.
Dalili ya mvua daima ni mawingu na lisemwalo lipoTetesi