Membe alisahau nini Serikalini?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,956
48,752
Je anaidai serikali?

Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania?

kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK?

Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM

Membe ni kapi.
 
Techniques za kutafuta kufuungwa mkono na wapinzani kwa manufaa binafsi
Je anaidai serikali? Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania? kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK? Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM Membe ni kapi.

Jr
 
Anaamini "ufisadi" ni jambo endelevu na bora kwa wale walio "barikiwa"
 
Je anaidai serikali? Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania? kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK? Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM Membe ni kapi.
Ukiona huna akili ya kupinga mambo wewe ni Bora twende ichunguze akili yako. Membe ana hakizote za kugombea na anafaa hapa ni mwendo wa kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je anaidai serikali?

Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania?

kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK?

Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM

Membe ni kapi.
hana lolote ni uchu tu wa madaraka
 
Je anaidai serikali?

Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania?

kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK?

Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM

Membe ni kapi.
Nadhan jibu lake litakuwa kama wanasiasa wengine, atakuambia nafasi aliyokuwa nayo haikumpa nafasai ya kufanya vitu vingi kwa Taifa, kwa hyo kuwa Rais atatimiza malengo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akiwa waziri wa mambo ya nje ni kipi alipaswa kufanya ambacho alishindwa kukifanya? Membe ni mwana CCM mwenye haki zote kama wanachama wengine, kwanini watu mnaumia sana akiongea?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom