Membe alisahau nini Serikalini?

Je anaidai serikali?

Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania?

kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK?

Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM

Membe ni kapi.
Acheni hizo mbona mnamwandama Sana kakosea nn ?hii nchi ni huru kwa nn Kila siku membe kawakosea nn nyinyi nyang'au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe amelifanyia mengi taifa hili .Aliipaisha nchi kimataifa.Karibu wakuu wa nchi kubwa duniani walifika Tanzania kipindi hicho.Huyu wa sasa anajaribu kuvuruga hayo mahusiano mazuri!
 
Membe ni kapi.

Kama ni kapi kwa nini mnamuogopa?

Kwa nini mnamjadili hamlali?

Kwa nini mnamzuia kuchukua fomu za Urais?

Kwa nini mnamdukua simu zake na mipango yake?

Kwa nini mnamuita ofisi za CCM aje kukanusha nia?
 
Kwa hiyo akiingia membe wewe na wenzako nao mtapata nafasi ya kutuibia sio?

Mtandao ulikwisha kufa kifo cha membe(mende).

Mtateseka sana kwenye keyboards lakini hamtabadilisha lolote nchi imeisha shika kasi kuelekea mabadiliko, na huko tuendako ni siasa zisizo na mitandao.

Kazi kwenu mliozowea kuishi kwa mfumo wa tunamjua nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiingia kuna uwezekano ukaja kumsifia.
 
Jiu
Je anaidai serikali?

Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania?

kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK?

Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM

Membe ni kapi.
Jiulizeni Kwanini alipotaka kugombea urais alimwaachia nape Jimbo? Je yeye na nape wana mahusiano gani? Je nape akiwa katibu mwenezi ccm ,kinana alikuwa katibu mkuu, je kinana na member Hawa uhusiano ikiwa kinana na nape ilikuwa timu moja na membe? Je hamuoni jk na membe ni ndugu? Mwacheni JPM achape kazi.hao jamaa ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa wodini.
 
Mkuu mie ninaelimu yangu na kazi yangu nzuri huku malawi,sina muda wa kutegemea huruma ya mtu,I am so sorry ila naumia ninapoona akina Magufuli wakitumia kodi yangu vibaya maana kodi yangu ni kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yangu na watu wake na si sehemu ya kufanya magufuli au mtu yeyote kufukuzwa kama Mungu
Mnafiki mkubwa wewe huna lolote endekeza majungu yako huko.
Sisi tuko na jembe letu JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom