mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Jambazi sugu na fisadi papa Lowassa kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
Day, wewe umetoroka lini Mirembe? Ugonjwa wako ni wa hatari sana na unaambukiza zaidi walio na umaskini wa kipato na kifikra. Ni hatari sana na wewe hufai katika jamii ya waliostaarabika!Afadhali Rais fisadi na mwenye maamuzi magumu atakaye tuletea maendeleo kuliko Rais mstaarabu atakayetupa umaskini,
fisadi ni mwizi aache kujitajirisha akuletee maendeleo ww,toka lini mwizi akashiba mali mpeni muone yeye na genge lake litakavyo shughurika na mali na siyo walala hoi bado prince fredrick,miaka mingine kumi inapotea hivihivi.Afadhali Rais fisadi na mwenye maamuzi magumu atakaye tuletea maendeleo kuliko Rais mstaarabu atakayetupa umaskini,
Jambazi sugu na fisadi papa Lowassa kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
Acha usengere nyuma, Tumia Akili
wewe ulokua Mtanzania halisi umebadilisha nini mpaka sasa? au mdomo tuu?Inaelekea una shida kufikiri.Ama kweli ni mtanzania halisi.
lowassa tena!??
muache mzee wa watu
ikulu ni yake
Mtoa mada ameweka hoja yake vizuri ya changamoto kwa Membe katika kauli yake, nadhani ni vizuri wagombea wote wakapimwa katika mizani sawa kwasababu mathalani Membe anaweza kuwa Raisi wa nchi hii ndio maana sharti watu wampime.
SASA WEWE UNAKUJA NA CHUKI BINAFSI. kwanini msibadilike ninyi watu? LOWASAAA LOWASSAA LOWASAA si mtu kama watu wengine? si ni mgombea kama wagombea wengine?
CHUKI BINAFSI HAIFAI....
Acha kutumia ubongo wa bata kufikiria kwa kutumia ubongo wa bata.wewe ni kibaka panya road unamtukana edo!!!!!
Hapa anazungumziwa Membe! wewe uko Busy kumchafua Lowassa!!! Usikubali kuwa Robot !!! Inaonekana umelishwa maneno na wewe unayoatoa kama umewekewa umeme... Uwizi, Ufisadi wa Lowassa kwanini msianike hadharani? Watanzania si Wajinga tena: Fitna za Joka la Mdimu, plus kafara za kimwera na kuomba kwenye Makaburi hakuwezi kuwaondolea wananchi Umasikini uliokithiri kwenye nchi TAJIRI ... Lowassa hawezi kukubali Ujinga wa nchi za Magharibi kukwapua rasilimali zetu... Ndo maana tuna muunga mkono ...
Hilo furushi/zigo halisafishiki kamwe....lowasa anauwezo wa kuongoza ng'ombe sio watu!!!
Udugu wao hautukhusu muhimu tunataka mchapa kazi awe Babake au shemeji yake au Mume mwenzie
tunataka maendeleo....
Siwezi kukumbatia kiongozi Kilaza Never ever
Jambazi sugu na fisadi papa Lowassa kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
Afadhali Rais fisadi na mwenye maamuzi magumu atakaye tuletea maendeleo kuliko Rais mstaarabu atakayetupa umaskini,