Membe ahaha kutaka kuhamia kambi ya Lowassa

wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo
Mods wanakuavha tu
, ila umeandika kama upo facebook vile na si great threak kwa hivyo vi - abbreviations vyako.

Poke ukikuwa utaacha
 
Dhambi ya udini waliyoanzisha itawatafuna sana CCM. Yusuph Makamba aliwaanzishia kitu kibaya sana...
 
Mods wanakuavha tu
, ila umeandika kama upo facebook vile na si great threak kwa hivyo vi - abbreviations vyako.

Poke ukikuwa utaacha

ww hujaona huo utumbo ulio andka hapo?wakati mwingne uzi ukianzishwa hapa jamvini cyo lazma uchangie kama huna cha kuchangia ni vizur ukamsaidia hata mkeo kusugua masufuria hapo jikoni
 
Mnajitahidi kweli kufungua akaunt ili muonekane mpo wengi ama kweli kula pesa ya Lowasa panahitaji mbinu nyingi huu ni wali wa mwaka mpya

mkuu vip?nasikia ww ndiye msemaji wa hii kambi ya joka la mdimu.embu tueleze ule mpango wenu wa kumtegemea mama salma na riz moja aweze kumpigia membe chapuo azame magogoni limefail??mnafikir mamvi kweli atawapokea??
 
wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo

Mkuu kiloriti upo jijini lakini inaonekana hufahamu mambo yanayoendelea sasa hivi ila ngoja nikufahamishe sasa.Ni kwamba ile dhana ya mafiga matatu ya rais,mbunge na diwani imebadilika sasa hivi mafiga matatu ni Jk,mama salma na riz.Jk baada ya kuona Membe hana mvuto na habebeki sasa hivi anampigania mtu mwingine,mama salma yeye bado yupo na ndugu yake na ndugu yake(Membe) na riz yeye kama babake amaeamua kubadilisha uelekeo baada ya kuona mjomba wake habebeki.Sasa nadhani utakuwa umegundua ni kwanini Membe ameanza kuhaha na kutaka kutafuta suluhu.
 
wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo

Unazusha kitu na unasema habari za chinichini. Kitu kilicho dhahiri ni kwamba akili zako ndio ziko chini chini ndio maana unaandika upuuzi kila wakati
Hivi huna kazi zaidi ya kumtetea EL? Au unalipwa kiasi gani kwa kazi hii?
Kwa nini unakubali kujidhalilisha kiasi hiki?
 
we ndo kwanza mbwa koko kabsa.kwan ww anayekutumia humu ndani ni nani kama cyo membe
na ww utakuwa ni kati ya wale maxen melo alisema kuna watu wameajiriwa kweny mitandao ya kijamii
ila sasa namuonea huruma membe kumpa kilaza kama ww kaz ya kumpigia debe
 
Unazusha kitu na unasema habari za chinichini. Kitu kilicho dhahiri ni kwamba akili zako ndio ziko chini chini ndio maana unaandika upuuzi kila wakati
Hivi huna kazi zaidi ya kumtetea EL? Au unalipwa kiasi gani kwa kazi hii?
Kwa nini unakubali kujidhalilisha kiasi hiki?

jitahid utafute saizi yako!!mi cyo!
 
Tunahitaji taarifa zenye ukweli unajua ninyi watu wa Lowasa hamna akili hata kidogo kila kukicha siasa zenu ni za uongo Membe kapungukiwa nn mpaka amtafute lowasa

hawa jamaa wapo kama mafisi,sasa thread gani haina hata vielelezo.ilimradi tu waonekane wapo,ukiwauliza Richmond hawana majibu.ovyo sana hawa.
 
jitahid utafute saizi yako!!mi cyo!

mpe jibu mwenzio,au huna jibu?kwanini unazusha habari?habari za chini chini ndio nini?umepata wapi kua lowasa anakataa kuonana na membe?weka habari yote mezani.au umeambiwa na mganga wa kienyeji?
 
Kuna ukweli lakini Tanzania inahitaji kiongozi mwenye vision ya kutupeleka mbele na kutukwamua toka kwenye umasikini wa kiuchumi na fikra Lowassa kweli ni Fisadi lakini mafisadi ni wengi Hata membe pia ni fisadi hela ya kujenga hotel ya naff blue mtwara aliipata wapi, mimi mpaka sasa sioni nani anaweza kuwa president wa hili Taifa la wadanganyika Dr Slaa full mbururaa tujudili hili swala kwa kina sio hoja nyepesi nyepesi
 
sasa huyo membe anaomba kujiunga na kambi ya lowasa ili kutokee nini.kwanini asijiunge na kambi ya shoga yake sitta
 
Back
Top Bottom