Hivi nimekosea jukwaa au mbona sielewi vile!
Ni wazi ulikuwa huzijui Youngafrican.com na Tanzatl.org.
Nyenzi.com ndo kabisa sidhani hata umewahi kuisikia!!
Cc: Kiranga
Ndio kwanza nazisikia leo,nilikuwa nakamua sana Marafiki.com na ninayo account Reg 2006 na ipo active,Nilikuwa nipo sana kwenye web ya slangcity.com ndio waliweka lyrics zake za Eamon na translation,shule ilikuwa tyt sana si unajua tena.
Ulitoka mkoani nini ndo ukaja Dar UDSM?
No disrespect, just asking....
NN umenikumbusha mbali nilikuwa na msichana mmoja hivi those days anaitwa Saada
na yeye alikuwa anaupenda zaidi ule mwingine msichana ali reply
unaitwa '*** it right back'
unaujua?
Hahaaaa wadada waliupenda sana huu NN...
isije kuwa Saada wangu ndo Saada huyo huyo wa Upanga ha haaaaa
Hmmm....nahisi atakuwa huyo huyo aisee....hahahahahaaaaa.
Unaukumbuka wimbo wa Ray J wa 'I hit it first'?:smile-big:
kwa style hii, kazi ipo.............afu usiniquote maana sitakujibuUtajiju. shatapu weee.
Hivi nimekosea jukwaa au mbona sielewi vile!
This joint by Eamon created some buzz back in '04 when it came out.
It is still a hot joint to this day, I think.
If you know it, where were you when it first came out?
Does is it remind you of anything/ anybody?
It's a great breakup song if you are the jilted one and if you are still kinda salty and butthurt.
**** you, you w.hore. I don't want you back*
Hahahaaaa classic. Enjoy, though.
Cc: Kasinde The Boss