MELI YA UJASUSI YA URUSI YAZAMA UTURUKI

MELI YA UJASUSI YA URUSI YAZAMA UTURUKI

hapo ndio ilibidi uonekane umuhimu na umahili wa rada zao. walizo kuwa wanazisifia kwamba zinaweza kufika sehemu yoyote duniani.

Mkuu kwani meli iliyo gonga ni ya Warusi au ya mizigo? Ya mizingo ndiyo ilihusika - sasa hata kama rada ya Warusi iliona Meli ya mizingo inaikalibia ya kwao kwa kasi kubwa, unafikiri Warusi wangefanya nini? Kama umejifunza nadhalia(Fisikia) za Newton kuhusu inertia utajua kwamba momentum ya Meli ya mizigo ilikuwa ni kubwa kwa hiyo isingekuwa rahisi kusimama hata kama kama wafanyakazi/Captain wa Meli ya mizigo waliona Meli ya Urusi at the last minute wasingefanya lolote kuzuia ajali, atujuia hata kama kulikuwa na radio Contact baina ya Meli hizo mbili ili kupeana tahadhali, je, walielewana lugha?

Narudia kukumbusha tena kwamba Meli sio kama gari kusema unashika breki na kusimama papo wa hapo, it takes time kusimama hata ukizima injini inertia yake inaifanya iendelee na mwendo huo huo kwa mita kadhaa bila kusimama, ndiyo maana kwa usalama wa majini Meli zinapashwa kupishana kwa mbali kutokana na tatizo tajwa hapo juu, kitu kingine hata ukikata kona Meli uchukuwa muda mrefu ku-respond siyo kama gari au ndege na infact ushauri kwamba Meli ikate kona gradually siyo kwa ghafla otherwise inaweza ku tilt over na kuzama.
 
Mbona mapovu mengi ivo Utadhani iyo meli ya babu yako.

Unafikiri kichaa lazima aokote makopo, kuna dalili nyingi za uwenda wazimu - mtu mwenye akili timamu awezi kutimia lugha za mitaani - malezi nayo uchangia sana, kama huna comments mbadala za maana basi the best you can do is to keep your trap shut au usome/pitia tu na ku-move on.
 
Mkuu kwani meli iliyo gonga ni ya Warusi au ya mizigo? Ya mizingo ndiyo ilihusika - sasa hata kama rada ya Warusi iliona Meli ya mizingo inaikalibia ya kwao kwa kasi kubwa, unafikiri Warusi wangefanya nini? Kama umejifunza nadhalia(Fisikia) za Newton kuhusu inertia utajua kwamba momentum ya Meli ya mizigo ilikuwa ni kubwa kwa hiyo isingekuwa rahisi kusimama hata kama kama wafanyakazi/Captain wa Meli ya mizigo waliona Meli ya Urusi at the last minute wasingefanya lolote kuzuia ajali, atujuia hata kama kulikuwa na radio Contact baina ya Meli hizo mbili ili kupeana tahadhali, je, walielewana lugha?

Narudia kukumbusha tena kwamba Meli sio kama gari kusema unashika breki na kusimama papo wa hapo, it takes time kusimama hata ukizima injini inertia yake inaifanya iendelee na mwendo huo huo kwa mita kadhaa bila kusimama, ndiyo maana kwa usalama wa majini Meli zinapashwa kupishana kwa mbali kutokana na tatizo tajwa hapo juu, kitu kingine hata ukikata kona Meli uchukuwa muda mrefu ku-respond siyo kama gari au ndege na infact ushauri kwamba Meli ikate kona gradually siyo kwa ghafla otherwise inaweza ku tilt over na kuzama.
ila ww nimekuelewa kidogo ila ningekuelewa zaidi kama ungeniambia labda syestem ya kuendesha hiyo meli ya kijasusi ilidukuliwa. na maadui na hao maadui wakaamua kuiendesha wanavyo taka wao.
 
Binafsi nachukulia ajali hii kama ilipangwa, sina shaka kuna Mataifa yalitaka kujua teknolojia inayo tumiwa na Warusi kudukua masuala ya mawasiliano ya meli, submarine na ndege za maadui wao, sina shaka mpango huu ulisukwa muda mrefu huko huko Uturuki na majasusi wa NATO, walichunguza mwenendo wa meli hizo za kijasusi zinapo pitia sehemu hiyo zikitokea Black Sea kwenda Mediterranian Sea, wakatayarisha Meli mahususi ya kuifanyia hujuma Meli ya kijasusi ya Urusi at opportune time - ukungu mkubwa ulipo tanda wakati meli inapitia sehemu hiyo wakatumia mwanya huo kutumia meli wanayo dai ni ya mizingo iliyo kuwa ku-reinforce/imarishwa bow(sehemu ya mbele kwa lengo maalum) ili ikigonga kwa nguvu yenyewe itabaki salama lakini Meli ya Urusi iliyo gongwa ubavuni itazama tu, ili baadae ma divers au submarine itumwe kwenda kwenye eneo la ajali kwa ajili ya ku canibalise vifaa vyote vya mawasiliano vilivyomo kwenye meli ya Urusi na kwenda kuvifanyia uchunguzi wa kina - hayo ndiyo maoni yangu ingawa sikutaka kuyasema.

I hope Putin atangamua mbinu zao mapema na kuiwekea Ulinzi mkali meli yao iliyo zama, waondoe mapema vifaa vyao vyote vya mawasiliano kwenye meli yao visije kuibiwa na maadui wao, hilo ndilo lilikuwa lengo kuu la operation hii - aingii akili kwamba meli ya mizigo inaweza kutoka from no where ika-steam roll ahead bila ya kujali mbele yake kuna nini, not even taking evasive maneuvers- it doesn't make sense.
 
hilo linawezakana kabisa kwa 100% kwamba ile ajari ilipangwa itokee. na ukizingatia haya mataifa mawili yani urusi na marekani wanamaadui wengi kuliko marafiki.

ila mm ninawasiwasi sana na mmarekani atakuwa amehusika pakubwa kumchezea rafu mwenzake.
 
sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.

sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
Kumbe uturuki iko Russia mkuu?? Na angani hua kuna bums kinoma, hadi helicopter zinapoteza uelekeo. Kama ndivyo Urusi ni wazembe sana, yaani wanagongana baharini kabisa!! Bora nahodha angeminya brek kwanza. (Halafu inaonekana nahodha wa Russia hakuwasha indicator kuonesha uelekeo)
 
hilo linawezakana kabisa kwa 100% kwamba ile ajari ilipangwa itokee. na ukizingatia haya mataifa mawili yani urusi na marekani wanamaadui wengi kuliko marafiki.

ila mm ninawasiwasi sana na mmarekani atakuwa amehusika pakubwa kumchezea rafu mwenzake.

Hilo ni wazi mkuu, Putin anapashwa kuchukua hatua ya haraka kuondoa vifaa vyake vya kijasusi kwenye meli yao iliyo zama kabla havija ibiwa na majasusi wa Serikali ya Marekani - I hope rais wa Uturuki atahakikisha hilo alitokei ingawa na yeye wakati mwingine ni mzabazabina/aleweki msimamo wake, ila sina shaka atakumbuka fadhila za Putin alipo msaidia hasipinduliwe na jeshi.

Kwa nini NATO specifically USA ina haha sana kutaka kujua teknolojia ya Urusi inayo tumika ku-jam mitambo yao muhimu kwenye medani za vita, jibu ni kwamba miaka ya hivi karibuni Urusi imepiga hatua kubwa sana katika teknolojia ya EWF, na kilicho washtua zaidi ni pale ndege za kirusi zilipo fanikiwa ku-disable kwa muda Aegis Defence Systems kwenye meli ya Kimerikani, Aegis systems za baharini na nchi kavu ndiyo muhimili wa Offensive na Defensive Sytem Umbrela ya Taifa la Marikani, systems hizo zimesambazwa sehemu mbali mbali Duniani ku-form Mesh Network - Amerika ilikuwa inajiamini sana kuhusu umahili wa mfumo huo, lakini come 2014 kibao kikagehuka baada ya ndege mbili za Urusi kuzima mitambo ya Aegis iliyo fungwa melini, mitambo yao including radar na subsystem za kuongozea missiles zilizimwa kirahisi kama unavyo zima TV sebuleni kwa kutimia remote control ndege hizo ilizunguka mara kumi na mbili na baadae kufuatiwa Helicopter wanamaji wa Kimerikani walikuwa hawana la kufanya!! Tukio hilo liliwashtua sana sana Wamerikani maanake hii ilidhilisha kwamba kumbe Makombora, Ndege, Meli na Submarines zilizo hundwa kwa gharama kubwa zinaweza kuingiliwa kwenye navigation systems za kuongozea zana hizo zikawa totally paralysed i.e zikakosa muelekeo na kushindwa kufanya kazi, yaani silaha zako zote za muhimu ulizo tumia miaka kuzihunda unakuta zinaharibiwa kiulaini kabisa bila ya kutumia a single thermonuclear bomb, watu hawajui tu lakini trend hii inawatia wasi wasi sana jeshi la Marekani, hata ingekuwa mimi ningekuwa equally worried.

Mkuu ushindani wa uhundaji silaha na ndege baina ya Marekani na Urusi una historia ndefu sana, nakumbuka kisa kimoja ambacho submarine ya Urusi ilizama kwenye bahari ya Pacific, submarini hiyo ilikuwa na teknolojia ambayo Wamerika walikuwa wanaitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, submarine ilizama kwenye kina kirefu sana ambacho si rahisi ku-salvage anything ingawa wanasema Warusi walileta meli kubwa yenye cranes kujaribu ku-salvage walao ICBMs zao walisema walifanikiwa kuziondoa lakini Submarine ilishindikana au waliondoa sehemu fulani ya Submarine lakini sina uhakika, sasa cha kuchekesha zaidi MoD/Jeshi la Marekani waka assign kampuni ya mafuta ya Huges kuhibuwa kwa siri Submarine ya Urusi iliyozama, kampuni hiyo ikajifanya kuweka Platform ya ku-drill mafuta kumbe lengo lao ni kufikia Submarine ya Urusi iliyo zama waibebe mpaka USA kuchunguza teknolojia iliyo tumika kuihunda, uwezi amini - walitumia miaka miwili katika zoezi hilo kwa kutumia gharama kubwa walifanikiwa eventually kuhibuwa sehemu ya mbele au nyuma sikumbuki vizuri, sehemu nyingine ilishindikana!! Sasa hii inaonyesha how far can these Guys go linapokuja suala kuzidiana kete, ujasusi na uhundaji silaha kali za maangamizi - as I said they can do anything...
 
Kwa nini NATO specifically USA ina haha sana kutaka kujua teknolojia ya Urusi inayo tumika ku-jam mitambo yao muhimu kwenye medani za vita, jibu ni kwamba miaka ya hivi karibuni Urusi imepiga hatua kubwa sana katika teknolojia ya EWF, na kilicho washtua zaidi ni pale ndege za kirusi zilipo fanikiwa ku-disable kwa muda Aeagis Air Defence Systems kwenye meli ya Kimerikani, Aegis systems za baharini na nchi kavu ndiyo muhimili wa Offensive na Defensive Sytem Umbrela ya Taifa la Marikani, systems hizo zimesambazwa sehemu mbali mbali Duniani ku-form Mesh network Amerika ilikuwa inajiamini sana kuhusu umahili wa mfumo huo, lakini come 2014 kibao kikagehuka baada ya ndege mbili za Urusi kuzima mitambo ya Aegis iliyo fungwa melini ilizimwa kirahisi kama unavyo zima TV sebuleni kwa kutimia remote control, tukio hilo liliwashtua sana sana Wamerikani maanake hii ilithilisha kwamba kumbe Makombora, Ndege, Meli na Submarines zilizo hundwa kwa gharama kubwa zinaweza kuingiliwa kwenye navigation systems za kuongozea zana hizo zikawa totally paralyised i.e zikakosa muelekeo zokashindwa kufanya kazi, yaani silaha zako zote za muhimu ulizo tumia miaka kuzihunda unakuta zinaharibiwa kiulaini kabisa bila ya kutumia a single thermonuclear bomb, watu hawajui tu lakini trend hii inawatia wasi wasi sana jeshi la Marekani, hata ingekuwa mimi ningekuwa equally worried.

Mkuu ushindani wa uhundaji silaha na ndege baina ya Marekani na Urusi una historia ndefu sana, nakumbuka kisa kimoja ambacho submarine ya Urusi ilizama kwenye bahari ya Pacific, submarini hiyo ilikuwa na teknolojia ambayo Wamerika walikuwa wanaitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, submarine ilizama kwenye kina kirefu sana ambacho si rahisi ku-salvage anything ingawa wanasema Warusi walileta meli kubwa yenye cranes kujaribu ku-salvage walao ICBMs zao walisema walifanikiwa kuziondoa lakini Submarine ilishindikana au waliondoa sehemu fulani ya Submarine lakini sina uhakika, sasa cha kuchekesha zaidi MoD/Jeshi la Marekani waka assign kampuni ya mafuta ya Huges kuhibuwa kwa siri Submarine ya Urusi iliyozama, kampuni hiyo ikajifanya kuweka Platform ya ku-drill mafuta kumbe lengo lao ni kufikia Submarine ya Urusi iliyo zama waibebe mpaka USA kuchunguza teknolojia iliyo tumika kuihunda, uwezi amini - walitumia miaka miwili katika zoezi hilo kwa kutumia gharama kubwa walifanikiwa eventually kuhibuwa sehemu ya mbele au nyuma sikumbuki vizuri sehemu nyingine ilishindikana!! Sasa hii inaonyesha how far can these Guys go inapokuja suala ya ujasusi na uhundaji silaha kali za maangamizi.
kumbe hawa jamaa vita yao chini chini ni ya historia na haijaanza leo.
 
Hilo ni wazi mkuu, Putin anapashwa kuchukua hatua ya haraka kuondoa vifaa vyake vya kijasusi kwenye meli yao iliyo zama kabla havija ibiwa na majasusi wa Serikali ya Marekani - I hope rais wa Uturuki atahakikisha hilo alitokei ingawa na yeye wakati mwingine ni mzabazabina/aleweki msimamo wake, ila sina shaka atakumbuka fadhila za Putin alipo msaidia hasipinduliwe na jeshi.

Kwa nini NATO specifically USA ina haha sana kutaka kujua teknolojia ya Urusi inayo tumika ku-jam mitambo yao muhimu kwenye medani za vita, jibu ni kwamba miaka ya hivi karibuni Urusi imepiga hatua kubwa sana katika teknolojia ya EWF, na kilicho washtua zaidi ni pale ndege za kirusi zilipo fanikiwa ku-disable kwa muda Aegis Defence Systems kwenye meli ya Kimerikani, Aegis systems za baharini na nchi kavu ndiyo muhimili wa Offensive na Defensive Sytem Umbrela ya Taifa la Marikani, systems hizo zimesambazwa sehemu mbali mbali Duniani ku-form Mesh Network - Amerika ilikuwa inajiamini sana kuhusu umahili wa mfumo huo, lakini come 2014 kibao kikagehuka baada ya ndege mbili za Urusi kuzima mitambo ya Aegis iliyo fungwa melini, mitambo yao including radar na subsystem za kuongozea missiles zilizimwa kirahisi kama unavyo zima TV sebuleni kwa kutimia remote control ndege hizo ilizunguka mara kumi na mbili na baadae kufuatiwa Helicopter wanamaji wa Kimerikani walikuwa hawana la kufanya!! Tukio hilo liliwashtua sana sana Wamerikani maanake hii ilidhilisha kwamba kumbe Makombora, Ndege, Meli na Submarines zilizo hundwa kwa gharama kubwa zinaweza kuingiliwa kwenye navigation systems za kuongozea zana hizo zikawa totally paralysed i.e zikakosa muelekeo na kushindwa kufanya kazi, yaani silaha zako zote za muhimu ulizo tumia miaka kuzihunda unakuta zinaharibiwa kiulaini kabisa bila ya kutumia a single thermonuclear bomb, watu hawajui tu lakini trend hii inawatia wasi wasi sana jeshi la Marekani, hata ingekuwa mimi ningekuwa equally worried.

Mkuu ushindani wa uhundaji silaha na ndege baina ya Marekani na Urusi una historia ndefu sana, nakumbuka kisa kimoja ambacho submarine ya Urusi ilizama kwenye bahari ya Pacific, submarini hiyo ilikuwa na teknolojia ambayo Wamerika walikuwa wanaitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, submarine ilizama kwenye kina kirefu sana ambacho si rahisi ku-salvage anything ingawa wanasema Warusi walileta meli kubwa yenye cranes kujaribu ku-salvage walao ICBMs zao walisema walifanikiwa kuziondoa lakini Submarine ilishindikana au waliondoa sehemu fulani ya Submarine lakini sina uhakika, sasa cha kuchekesha zaidi MoD/Jeshi la Marekani waka assign kampuni ya mafuta ya Huges kuhibuwa kwa siri Submarine ya Urusi iliyozama, kampuni hiyo ikajifanya kuweka Platform ya ku-drill mafuta kumbe lengo lao ni kufikia Submarine ya Urusi iliyo zama waibebe mpaka USA kuchunguza teknolojia iliyo tumika kuihunda, uwezi amini - walitumia miaka miwili katika zoezi hilo kwa kutumia gharama kubwa walifanikiwa eventually kuhibuwa sehemu ya mbele au nyuma sikumbuki vizuri, sehemu nyingine ilishindikana!! Sasa hii inaonyesha how far can these Guys go linapokuja suala kuzidiana kete, ujasusi na uhundaji silaha kali za maangamizi - as I said they can do anything...
Hakuna ndege yoyote ya Urusi iliyowahi zima mtambo wowote wa Marekani.

Hilo tukio lilitokea mwaka 2014 baada ya ndege ya kirusi Su-24 kuruka karibu sana na destroyer ya US km 75 feet hv. Pilot wa Su-24 alikua anaonywaa na crew ya kwenye destroyer lkn hajibu. Cha ajabu propaganda za warusi zikaanzisha kwamba meli ilikua jammed. Wkt tukio zima US NAVY walirekodi na hii chini ni taarifa yao waliyoitoa kuhusiana na tukio hilo wakilaani
bae4a7325703efba9cd8ced97b288cc0.jpg

Tukio lenyewe ni hili kutoka ABCnews

Hlf umechanbanya matukio mawili, lililohusisha Helicopter ni hili ambalo lilitokea 2016

Na hayo matukio ni kawaida kama ilivyotokea juz F22 zilivyotumwa kuziintercept Tu-95 za Russia.

Ila vyombo vya kirusi navyo viache propaganda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom