hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
huu ni uzembe ulio pitiliza kwa jeshi la urusi. kama meli tu ya ujasusi. imegonga meli nyingine ya mizigo na kuzama kama mtumbwi. na je vikitokea vita na marekani itakuwaje.
na mmarekani yeye akilianzisha amelianza hakuna kulala.
kwahiyo nawashauri wale wote mnao mbeza mrusi kwamba anaweza kumpiga mmarekani mfute kauli mara moja msije mkaja mkaaibika.
pale mtakapo kuja kushuhudia mrusi anakuja kupigwa kama mtoto mdogo pamoja na tumakombora twake.