distinguish
Watanzania kwa uzushi!! Nani alikwambia kwamba visibility ilikuwa 100% au unaposema sehemu ilipo tokea accident palikuwa peupe una maanisha nini?? Majibu kama ya kwako hayanishangazi hata kidogo, najua wanaosema haya si ajabu katika maisha yao hawajawahi kutoka nje ya Tanzania, watu kama hao si rahisi ku-distinguish baina ya MIST and FOG hilo ndilo tatizo.
Mashuhuda wa accident wanasema ajali ilitokana na hali mbaya ya hewa, hali hiyo ndiyo ilisababisha
Bosphorus Strait kutanda FOG hivyo kufanya visibility iwe nil/hakuna, sasa kwa mtu ambaye amewahi kushudia hatari za FOG zinavyo sababisha ajali mbaya sana za barabarani na majini kwa Mataifa ya wenzetu - mtu kama huyo awezi kushangaa tukio la Meli kugongana.