Meli Spice Islander yaibuka

Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa miundombinu na mawasiliano ni kweli imeonekana meli katika mkondo wa Nungwi lakini sio Mv. Spice ni meli ya Wachina.
 
jamaa yangu habari hii km sio Jokes naomba source kwani hata Titanic noyo itaibuka.
Elewa kile ni chuma wakati wanakiunda walikiingizia hewa ili kiweze ku-float sasa leo Spice islender imezama katika mkondo mkali na wa kina kirefu wa Ras Nungwi kuibuka ni wapemba na Wazanzibar wangetijuza
hebu leta kitiko kingine
 
wani haiwezekani? kama maboya yake yamejaa upepo yafanyeje si ni kuinua tu. tunangoja habari kamili
 
kama kweli basi end of the world kama ni uongo basi ujue kabisa hayo ni maboya..
 
good question....

 
Mv. Bukoba nayo huonekana mara kwa mara ikiwa inaelea,lkn ukienda hilo eneo ilipo inapotea.Haya mambo ya ajali za majini yanaconfuse sana!
 
Ni muunjiza wa binti aliyeombewa na Gwakis
 
Kuna habari ambazo hazijadhibitishwa kuwa ile meli ya Spice Islander iliyozama Zanzibar na kuua mamia ya watu imeibuka na kuelea bahari. Kama kuna wenyewe taarifa zaidi watujuze.

Jamani hizi ni tetesi.
 
Mv. Bukoba nayo huonekana mara kwa mara ikiwa inaelea,lkn ukienda hilo eneo ilipo inapotea.Haya mambo ya ajali za majini yanaconfuse sana!

Kweli mtu wangu kuna jamaa yangu ambaye ni mvuvi imeshawi kuwatokea usiku wakiwa kwenye shughuli za uvuvi, lakin baada ya muda mfupi meli hiyo ya mv Bukoba hupotea
 
Kuna uzi humu unaelezea binti aliyeizamisha hiyo meli kiuchawi kaibuka,au ndo yeye kaiibua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…