Kuna habari ambazo hazijadhibitishwa kuwa ile meli ya Spice Islander iliyozama Zanzibar na kuua mamia ya watu imeibuka na kuelea bahari. Kama kuna wenyewe taarifa zaidi watujuze.
Based on Archimedes principle kama ilizama sehemu isiyo na kina na uzito wa ndani umepungua lazima ielee!
Ila hayo mambo huwezi sikia Nyasa wala Tanganyika as vina vyake ni balaa chini unakutana mpaka na mapango!

Sioni relationship hap mkuu!
Mimi naweza kufikiria kitu kama hicho endapo meli hiyo ilizama na kwenda kukaa huko ilikokuwa ikiwa katika mkao uleule wa floating...lakini kama ilipinduka na kuwa aidha upside down au sideways, then si rahisi ikaibuka na kupanda juu ya maji na kuelea.