Meli mpya ya Titanic II kuzinduliwa mwaka 2018

Meli mpya ya Titanic II kuzinduliwa mwaka 2018

Hii inaweza isizame kama ile ya mwanzo.Kisa cha ile Meli ya TITANIC kuzama ni kuwa wakati wa uzinduzi mwenye meli alisema meli yake imejengwa vizuri kiasi kuwa hata mungu akitaka kuizamisha hataweza.Watu wakashangilia kile kihotuba chake. Kilichotokea kwenye hiyo meli kuzama kwake kinakumbukwa na dunia hadi leo.Wenye hiyo meli mpya nadhani wakiepuka kufuru haitazama lakini wakirudia yale ya ile ya mwanzo hiyo nayo itazama
Asante kwa historia
 
waiite hii pia 'unsinkable' waone ikizama hata kabla haijaanza safari! hiyo ya zamani ipo meter 4000 huko majini, blaifut fantas!
 
Attachments

  • harmony-image.jpg
    harmony-image.jpg
    86.7 KB · Views: 120
  • harmony-of-the-seas-ultimate-abyss-flowerrider.jpg
    harmony-of-the-seas-ultimate-abyss-flowerrider.jpg
    106.8 KB · Views: 377
Yah harmony of the sea kamaliza. By the way ni kampuni moja kwa mfano yutong f11 na f12.
 
Mim naona ujanja ni kuitoa Titanic iliyozama baharini sio kujenga nyingine sahivi kuna vitu vingi so kutaifanya hii mpya isionekane ya thamani.
 
Hii inaweza isizame kama ile ya mwanzo.Kisa cha ile Meli ya TITANIC kuzama ni kuwa wakati wa uzinduzi mwenye meli alisema meli yake imejengwa vizuri kiasi kuwa hata mungu akitaka kuizamisha hataweza.Watu wakashangilia kile kihotuba chake. Kilichotokea kwenye hiyo meli kuzama kwake kinakumbukwa na dunia hadi leo.Wenye hiyo meli mpya nadhani wakiepuka kufuru haitazama lakini wakirudia yale ya ile ya mwanzo hiyo nayo itazama
Hata hapa Tanzania nasikia kuna Rc mmoja alisema akisimama yeye ni Mungu kasimama!!! Baada ya muda mfupi kukatokea mafuriko makubwa mkoani kwake. Sijui habari hii ni ya kweli maana Mimi Sipendagi uchochezi...!!
 
Back
Top Bottom