Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,145
Hoja ni kufanya kazi acheni porojo
Safi sana kama meli hiyo mpya itafika hata Njombe na Songea basis wenzetu wa Geita hatahitaji Dreamliner. Tumezoea meli mitumba hata Kibaha hazifiki. Hapa IPO kazi!Meli mpya ya kisasa inayoundwa katika bandari ya Itungi Kyela ipo katika hatua za mwisho kukamilika ambapo itarahisisha safari za Kyela, Songea, Mbinga, Njombe na Malawi kupitia Ziwa NyasaView attachment 1043797
Sent using Jamii Forums mobile app