Meli Kubwa yafunga Gati Mtwara kwa mara ya kwanza

Meli kubwa yenye uwezo wa kubeba magari 600 mali ya Dangote imewasili Manispaa ya Mtwara, Imeelezwa Meli hiyo imeweza kutia nanga bandarini hapo mara baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuifanyia marekebisho Bandari hiyo na kuongeza ufanisi zaidi.
Hii ni tofauti na ile iliyoleta magari 600 ambayo kwa sasa yanasafirisha Cement?
 
Madhara ya kuishi sebuleni kwa shemeji yako miguu sofani, macho kideoni na JF kwenye simu ama Tablet.

Na madikodiko kwenye frij ukibugia heavy meals. Ni hazina kubwa sana ukiwa na dada huoni anavyokukingia kifua? Shemeji yako tu kawafukuza ndugu zake wa damu

Khaaaaaaa! Lol
 
Hivi ni mpaka mseme serikali ya awamu ya 5, mkisema serikali tu hamueleweki?
 
Madhara ya kuishi sebuleni kwa shemeji yako miguu sofani, macho kideoni na JF kwenye simu ama Tablet.

Na madikodiko kwenye frij ukibugia heavy meals. Ni hazina kubwa sana ukiwa na dada huoni anavyokukingia kifua? Shemeji yako tu kawafukuza ndugu zake wa damu
Mwachie flana jamani Mbona wamwacha utupu Mkuu!
 
Back
Top Bottom