Meli kubwa ya mafuta ya Iran yashika moto

Hiyo meli imepata ajali tu lingeua shambuliz
wangekufa watu wote cha ajabu kwenye tukio hil hakuna mfanyakaz wa meli hiyo iliepata hata mkwaluzo pia hii meli imetengenezwa miaka ya sabini tatizo wayahudi wa jamii forum tangu hamas waipigishe magoti israel mmekuwa mkijifariji kwa mambo ya ajabu sana
Kuharibu bila kuleta taharuki ili asiwepo wa kunyoshewa kidole.

Unaweza kuelezea neno "shambulizi"?.

Wa Iran tatizo ni watu wa mlengo wa Socialist ideology kama Tanzania,
Yaani sisi tunawazidi hadi Wachina na Warusi kwenye propaganda ila hatujawazidi Korea Kaskazini!

Ivi hujasikia kuwa hapa Tanzania kwa miaka ya nyuma kabla ya ujio wa Technologia za kujitafutia ukweli ilipropagandika kuwa Tanzania ni nchi ya Pili dunia kiuwezo wa Upelelezi (ujasusi)?
 
Bado hakuna habari rasmi toka serikali ya Iran.

Huu ni mwendelezo wa matukio ya kuungua kushambuliwa ya mara kwa mara kwa Iran. Huenda Israel ikahusika kulipua meli hii kubwa ya kijeshi. DW inasema meli hiyo imezama kabisa

Chanzo cha habari DW kiswahili.
🎥 Telegraph



=====

Meli kubwa kabisa ya jeshi la wanamaji la Iran imeteketea na baadae kuzama hii leo katika mazingira yasiyoeleweka kwenye ghuba ya Oman. Hayo yameripotiwa na mashirika ya habari ambayo hayamilikiwi moja kwa moja na serikali. Mashirika hayo ya Fars na Tasnim yameeleza kwamba juhudi za kuiokoa meli ya Kharg zimeshindwa.

Kwa mujibu wa taarifa za kituo cha televisheni ya taifa wazima moto walijaribu kuudhibiti moto huo. Meli hiyo iliyopewa jina la kisiwa ambacho ndio kituo kikubwa cha mafuta cha Iran,Kharg, ilizama karibu na bandari ya Jask kiasi kilomita 1,270 Kusini mashariki mwa Tehran katika ghuba ya Oman karibu na mlango bahari wa Hormuz.

Picha zinazosambaa katika mitandao ya kijamii nchini Iran zinaonesha mabaharia wakiwa wamevaa jaketi za kujiokoa wakiondoka kwenye meli hiyo huku moto ukiwaka.

mtu akikuzidi akiri na nguvu ya nini kupigana naye? Iran kazidiwa kila kitu na Israel , kuanzia nguvu za kijeshi, kielimu, kilimo na demokrasi, leo innapigwa kwa remote control tuu bila jasho na damu. Israel ndiye mwenye dunia na world bank, hivyo maadui zake lazima watulie na kupatana naye la sivyo wataishia pabaya.
 
Hii habar Mbaya hawawezi kuja mpaka kupoe ndo watakuja kwa ID zao originalkwa ukweli wapo hapa na ID zao za BackupKama unabisha chunguza utaniambia
Unaongelea hao jamaa wa kitengo cha propaganda cha Ayotollahs? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kuharibu bila kuleta taharuki ili asiwepo wa kunyoshewa kidole.

Unaweza kuelezea neno "shambulizi"?.

Wa Iran tatizo ni watu wa mlengo wa Socialist ideology kama Tanzania,
Yaani sisi tunawazidi hadi Wachina na Warusi kwenye propaganda ila hatujawazidi Korea Kaskazini!

Ivi hujasikia kuwa hapa Tanzania kwa miaka ya nyuma kabla ya ujio wa Technologia za kujitafutia ukweli ilipropagandika kuwa Tanzania ni nchi ya Pili dunia kiuwezo wa Upelelezi (ujasusi)?
Mimi nilisikia Tanzania ipo kwenye top ten duniani ya nchi imara za jeshi la ardhini (infantry) 😀😀 😀 mbali na uongo huo , sjui nan bado anawekeza zaidi kwenye infantry instead of air and sea battle
 
Back
Top Bottom